CCM kujivua ‘gamba’ Dodoma


Mchungaji Masanilo nimeipenda analysis yako. ila nina swali moja "CCM waliongelea magamba sawa? Mbona hawajawahi kuzungumzia SUMU? na hapo kwenye wekundu umeeleza vizuri kuhusu gamba lakini kwa makusudi unaendelea kufocus analysis yako kwenye sumu. gamba na sumu wapi na wapi? kuna uhusiano wowote kati ya gamba la nyoka na sumu yake kama unayoongelea?
naona kama problem statement, objectives, methodology na conclusion hazifanani hahahahahhahahha
 

Shida iliyo kwenye nyoka huwa ni SUMU! Magamba hayana madhara hata atoe kiasi gani kama hilo joka lina sumu basi bado hatari iko pale pale....Mkuu hii siyo research project inayotaka kutoa thesis ni uchambuzi tu
 
Huyu ndiye Lipumba niliyemjua mimi miaka ya nyuma..Sijui kilimwingia kitu gani hivi majuzi akapoteza hata mwelekeo.
 
ukienda kwenye you tube vhdeo utamuona mdudu triop wa kwenye majaruba ya mpunga akipitia hiyo hatua! Ila madhani ni lugha ya picha ambayo ccm kufikisha ujumbe wa walichodhamiria. Ni mapema kuwahukumu! Mengi ya yaliyotokea zamani kama azimio la Arusha, tujisahihisha. Tathmini ya miaka kumi ya azimio. Kuwaengua Malima. Jumbe na Maalim Seif na chama kushika hatamu yote yalikuwa kujivua gamba: ecdysis haitokei mara moja ni mchakato wa makuzi
 

Hiyo Nimeipenda sana
 

Mkuu sioni kama mnakuwa badala yake mnazidisha makundi! Ni nani aliyefisadi kuliko Mkapa ama Kikwete mwenyewe?
 
Kumbuka ukijivua gamba unavaa lingine wakati huohuo.

Ni kusema kuwa gamba halitatoka kama hakuna 'gamba' jingine kufidia sehemu yake. Gamba out=gamba in? 1-1=1? No change actually!

And it is a continued process thruout the life of this organism, kwa mantiki hiyo sisiem wana mpango wakuendelea kujivua gamba kil baada ya muda fulani kweli? I doubt.
 


  • wewe heche unagombea kupitia chadema,mambo ya ccm yanakuhusu nini? Unataka umaarufu chadema kwa kumshambulia nape na mambo ambayo huyajui! Kwanza unapaswa ujue kazi ya nape haikuja kwa bahati mbaya ni mjumbe wa nec,kama mnec nape anafanya kazi ya chama,wewe unaonesha wazi hata unachogombea huelewi unakwenda hapo kufanya nini? Ikitokea chadema wamekupa kadi ya itikadi kama mwenezi kukisemea chama wana ccm watakushambulia wewe au chama? Jk siyo fisadi ndo maana porojo zote za dr na chadema hazikufua dafu,unaonesha hata takwimu zako zinasoma kwa reverse,kura za jk hazipimwi kwa percentage kubwa kujua watanzania wamemchagua au hapana ni ushindi tu,kama watanzania wangezani chadema ni chama mbadala wangemchagua jamaa yako mwizi wa wake za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…