CCM kuibuka kidedea uchaguzi Arusha

Huyu dada,kiswahili anachapia,lugha ya Elizabeti ndio kabisaa..janga la lugha hili.
 
We shonza wewe sawa na AL-SHABAAB
 
Kama usivyojua tofauti kati ya "r" na "l" vivyo hivyo hujui kwamba CCM ilishakufa sikunyingi tuuu, hivi sasa mnatapatapa tuu kwa ajili ya tumbo.
 
We are sick and tired of these lies from foolish ccm cadres like Miss Shonza.Sisi tulio huku kwenye grass root level hapa Kaloleni tunaona ukweli kwa macho yetu,CCM kushinda ni day dreams.We July umekaa unapewa taarifa na wapambe mliowapa hela ambao inabidi wawaambie kile mnachopenda kusikia tu.Naamini nitakuwa barabarani pale mpakani mwa Arusha na Kilimanjaro (KIA) kuhakikisha tunawazomea na kuwazuia makuwadi. Hawa ni Mwigulu na wahuni wenzake ambao najua ikifika saa moja jioni leo watakuwa wanaikimbia Arusha kama ilivyowatokea Arumeru Mashariki.
 
mkuu uyole kuzalikisha ndo nini tena?
Au ndo product chuo cha kilimo uyole?
Haa haaaaaaaa kamekuingia ee Mbona umetoa neno Breaking News?
Acha kuzalikisha degree yako ya sociology mtu unadegree unashindwa kujua nini maana ya breaking News
 
yule mgombea udiwani wa elerai amehamia chadema kwa mara nyingine? Uko wapi nije nikupe joto kidogo,maana hii baridi nuksi! zilipendwa
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa sijaamini kweli Juliana Shonza ni mtu wa Mbeya ila kwa bandiko la leo nimeamini.

Huko kwetu tunasumbuka sana na tofauti kati ya l na r. Ndio maana badala ya kaburi naona kabuli. Badala ya kusubiri naona kusubili na badala ya Kaloleni naona Karoreni.

Ukitaka kumkamata mtu wa Mbeya na hasa hawa vijana wa siku hizi, angalia maandishi yao kwenye hizo herufi mbili. Wale wa zamani tulijifunza kuandika vizuri hata kama ilikuwa ni kwa viboko.
 
Duh ndugu zangu mshaanza kuporomosha matusi tayali.kuweni wavumilivu kipindi hiki japo najua kitaenda kuwa kigumu sana kwenu.

we hakuna unalolijua kuhusu arusha,kilichokuleta arusha ni umalaya wako na mwigulu.
 
hivi heshima ziku hizi zimeisha kabisaaaa ....mambo muhimu yanahitaji watu muhimu....sasa wale wazee wa busara kidogo mangula na dentist wameeenda wapi kwani walianza kwa nguvy lakini kila wanachofany....hha kinafifia lol....haka kadada nakapimia nione atakae kaowa
 
Yaaani juliana wewe ni majanga tu unaongelea kitu kigumu ambacho watu hawakiamini na wala hawa kiishi na hawatakitenda leo huko arusha. Kumbuka kabla hujajiunga na huyo chenga na huyo nepi ulikuwa na tabia hiyo ya kuongea kama hamnazo? Nenda kwenu kawasaidie kutoa hoja mwenzako zambi anapeleka makao mapya ya mkoa mpya chunya badala ya kwenu mbozi.
 

Ndiyo mlivyodanganyana hawara yako gaidi mwigulu?
 
Naona umekuja kumsaidia boss Mwigulu Nchemba baada ya kula ban. Post kama hizi ndiyo zilikuwa zinamhusu yeye. Muda una taradadi ngoja tusubiri hali itakavyokuwa jioni ya leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…