CCM kuiba kura Igunga?

CCM kuiba kura Igunga?

kwani hamkuona wale jamaa walivyokua wakimlilia Rostam?.....jamaa kawaambia amejivua gamba, watu wanaimba "hatutakiii, hatutakii"....we unafikiri CCM wanahitaji kuiba kura hapo?.....mbona its obvious.....mnazijua akili za watanzania au mnazisikia tu?
nasikia walikuwa wakukodi
 
Sipati picha uchaguzi huo utakuwaje,nasubiri tamko toka kwa shimbo mnadhimu wa jeshi kuhusu masuala ya ndani.Pia msisahau kuwa 'taarifa za kiintelijensia' nazo zitahamia Igunga.
Lets wait n watch
 
Tuibe zanini...sisi tuna WAtu wakupiga KURA siyo wahuni wa kushangilia....IGUNGA ya CCM milele...CCM oyyeeee
 
Utoto wa Chadema ni huo na kisingizio cha kuibiwa Kura! Nendeni Igunga kifua mbele ukisema kuna wizi wa kura lazima uibiwe kura tayari hoja umeiweka mwenyewe unaetaka kuibiwa! Lazima muibiwe Igunga na 2015 lazima muibiwe na kura za Urais kwakuwa mmekaa mkao wa kuibiwa ibiwa!
 
Dawa kura zikishapigwa wananchi wasitawanyike wasubiri mpaka kura na matokeo ya kila kituo yatoke
 
una maana gani kusema "watu wa igunga wana uelewa mdogo???" acha izo mtu wangu hata kama wilaya yetu ina wasomi wachache tusaidieni sio kututusi kwa wewe una elimu gani uropokaji na ujuaji wa chadema hukohuko .
STUPID BOy!!!!!!
 
Mshikamano na umoja na uchungu wa ukombozi wa mara ya pili wa wana igunga ndo utakaozuia ufisadi huu!Najua wamechoka na mfumko wa bei,mgao wa umeme,shule kukosa walimu,hospitali kukosa dawa,wizi wa hela hovyo hovyo na ahadi nyingi hewa!
 
una maana gani kusema "watu wa igunga wana uelewa mdogo???" acha izo mtu wangu hata kama wilaya yetu ina wasomi wachache tusaidieni sio kututusi kwa wewe una elimu gani uropokaji na ujuaji wa chadema hukohuko .STUPID BOy!!!!!!
Kuwa na wasomi wachache na matatizo mengi inatakiwa iwe chachu yenu ya kukataa utumwa mliokuwa nao wana Igunga!Poleni na mpambane kudai haki yenu!
 
Anayedhani kuna kura ziliibiwa ni mwendawazimu tu na hana kumbukumbu, tazama CCM ilikuwa na sababu gani ya kuiba wakati hata sehemu ilikopoteza waliopiga kura ni wana CCM. Acheni utetezi kabla hata mchezo kuanza. Tafuteni kingine IGUNGA ni ya CCM.

Igunga ni Rostam kama siyo ya wana Igunga wenyewe; sijui hata kama kulikuwepo na mgombewa wa CDM mbele ya RA

Maana wazee wangu wale kwa colour hawa jambo, tena CCM ikipereka Mwaarabu au Mhindi lazima washinde kwa kishindo kabisa.
 
swala ni kwamba wakazi wa igunga wanahitaji kuendelea au kuishi kwa matumaini mpaka yesu atakapo kuja.

na hata kama dr slaa atakwenda huko swala lipo palepale ni wao kubadilika na sio tusubili miujiza ya dr slaa.

Mungu Ibairiki Igunga
Mungu Ibariki Tanzania
 
Kuna tetesi zimeenea eti Dr. Slaa ataenda kugombea Igunga. Ni kweli?
 
Huko watashinda tu make ndiko ndo kiini cha ujinga wa watanzania na ndio mtaji wao. CCM watashinda tu kwanza shule ndogo huko. Huko watu wanavaa Tshirt za CCM kofia na khanga unategemea nini. Dodoma, Morogoro, Singida, Mtwara, Lindi na Tabora kunahitajika miujiza kubadili mawazo mgando waliokuwa nayo juu ya CCM. Ndizo sehemu maskini zaidi Tanzania. CCM imewatafuna hadi uti wa migongo ni maskini kupindukia lakini hawana habari kwao maisha murua kabisa. Angalia mikutano ya Nepi anazunguka tu kwenye mikoa hiyo manake wanajua ujinga wao ndio mtaji wao.
 
Uchaguzi wa Igunga utategemeana na wagombea watakateuliwa na vyama vyao. Issue ni kumsimamisha strong person, suitable and applicable for the position, haijalishi anatoka chama gani, sidhani kama hii karne niyakusimamisha watu goigoi. Nawafahamu chadema vzr, lazima wataweka mashine kali, chuma cha pua. Mbunge 1 wa chadema ni sawa wabunge 50
wa magamba. CCM wanajulikana kuteua watu wanaowataka wao, hasa wale ambao kazi yao ni ndiyo mzee, hawana tabia ya kupinga hoja hata kama ni za kipumbavu.
 
Back
Top Bottom