Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,184
- 29,664
Leo asubuhi Jumamosi 25/04 kwenye kipindi cha Magazeti TBC, msomaji alimkariri Kate Kamba kuwa CCM itatengeneza barakoa zake na kuzigawa kwa wanachama wake.
CCM ndiyo inayopokea michango toka kwa wasamaria wema, CCM sasa imeamua kwenda kivyakevyake na kuwatelekeza watanzania wasio wanachama wake? Je, ni jambo lenye Tina kwa taifa kila vyama, makabila, dini na makundi mengine yapambane kivyaovyao?
Charity begins at home huwezii Anza kununulia barakoa nyumba ya jirani kabla ya familia yako KwanzaLeo asubuhi Jumamosi 25/04 kwenye kipindi cha Magazeti TBC, msomaji alimkariri Kate Kamba kuwa CCM itatengeneza barakoa zake na kuzigawa kwa wanachama wake.
CCM ndiyo inayopokea michango toka kwa wasamaria wema, CCM sasa imeamua kwenda kivyakevyake na kuwatelekeza watanzania wasio wanachama wake?
Je, ni jambo lenye Tina kwa taifa kila vyama, makabila, dini na makundi mengine yapambane kivyaovyao?
Mbona katika baadhi ya Mitandao ( siyo JamiiForums ) nimeona CHADEMA nao wana Barakao zao? Tatizo hasa liko wapi hapo?
Mkuu ni zile billion 7 za msaada?Mmh hii kama ni kweli tunaipeleka nchi pabaya sana
Jr[emoji769]
ACT wazalendo washatengebeza tayariMbona katika baadhi ya Mitandao ( siyo JamiiForums ) nimeona CHADEMA nao wana Barakao zao? Tatizo hasa liko wapi hapo?
Alafu mi nae nimekuona we kiazi
Charity begins at home huwezii Anza kunu nulia barakoa nyumba ya jirani kabla ya familia yako
Chadema kwa fursa ya biashara hamjambo mnadhindwa hata na ACT wazalendo chama ambacho ruzuku inapata kiduchu imetengeneza inagawa bure!Hizo za Chadema zinauzwa kwa Wananchi kama nyingine zinavyo uzwa huko Madukani ,hapa Hoja ni CCM kugawa bure Barakoa kwa walio Wana Chama wake tu Mkuu.
Rudi sasa kwenye Hoja ya Msingi.
Hizo za Chadema zinauzwa kwa Wananchi kama nyingine zinavyo uzwa huko Madukani ,hapa Hoja ni CCM kugawa bure Barakoa kwa walio Wana Chama wake tu Mkuu.
Rudi sasa kwenye Hoja ya Msingi.
Usichanganye serikali na CCM serikali ndio inapokea michango na pesa za yeyote pesa ziko ofisi ya waziri mkuu haziko makao makuu ya CCMNi kweli kabisa Mkuu ,lakini CCM ndio wapo Madarakani na ndio wanaopokea Michango ya Wananchi wote wenye Vyama na wasio na Vyama.Kwa nini ktk ugawaji mlete Ubaguzi !?
Chadema kwa fursa ya biashara hamjambo mnadhindwa hata na ACT wazalendo chama ambacho ruzuku inapata kiduchu imetengeneza inagawa bure!
Inawezekana kabisaMkuu ni zile billion 7 za msaada?
Usichanganye serikali na CCM serikali ndio inapkea michango na pesa ziko ofisi ya waxiri mkuu haziko makao makuu ya CCM
Hizo za CCM Ni za michango ya wanachama wa CCM kwenye chama
CCM haijapokea michango kwa asiye mwanachama serikali ndio inapokea pesa kwa Kila mtu Nilesh Nani asiye means CCM ambaye kaichangia CCM itengeneze barakoa nitajie mmoja weka ushahidi hapa?Hoja hapa inahusu CCM usihamishe Magoli ,rudi kwenye Hoja ya Msingi.Kulikoni CCM mchukue Michango kutoka kwa Raia wote lakini ktk ugawaji mnawabagua !!?