WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,375
- 3,140
Korona yenyewe ishaanza kuwafyekelea mbali CCM....wajifukize tu, watajikuta CCM yamebaki majengo...CCM imesema itawafyekelea mbali Wanachama wake wanaolitumia janga hatari la Corona kama fursa ya kusaka Ubunge.
CCM imesisitiza kwamba siyo wote wanaotoa misaada ya Barakoa, Sabuni na Vitakasa mikono wana nia njema bali wengine wako kisiasa zaidi.
Source: Rai
Ni suala la muda.......
Sent using Jamii Forums mobile app