CCM kufanya maandamano Dar ili kuwafunika CHADEMA?

CCM CHAMA CHANGU, TUSIIGE UTOTO WA CHADEMA, >Nimemaliza.
Tuimarishe matawi ya chama chetu, tuhakiki wanachama wetu, tutoe kadi mpya, tusajili wanachama wapya.
UHAI WA CHAMA UNASHIKILIWA NA MASHINA, ACHENI HAO WASHUGHULIKE NA VYAUPEPO!
SISI CCM TUIMARISHE DATA BASE YETU YA WANACHAMA TOKA MILIONI 7,TULIOPO SASA TUFIKIE MILIONI 15.
Acha undezi,waambie wapunguze bei ya sukari na waondoe mgao wa umeme
 
Kwa habari za kuaminika zinasema kwamba CCM imejipanga kufanya maandamano makubwa sana jijini Dar Es Salaam ili kuwafunika chadema.

Kiongozi mmoja wa chama hicho amesena kwamba wamejipanga kufanya maandamano hayo ya kumpongeza Rais Dr. Samia kwa kuruhusu demokrasia nchini.

Kiongozi huyo ameongeza kuwa kamwe hawawezi kushindwa na chama kidogo kama chadema hivyo wao CCM wanakuja na maandamano ya funga mwaka ili kuzima kelele zote za chadema.

Kila mkoa ambao chadema wanakwenda kufanya maandamano CCM wanakwenda kusafisha mazingira.

Maandamano hayo ya CCM jijini Dar yatahusisha wakazi wote wa Dar na viunga vyake vyote ili kuwafundisha chadema maana halisi ya maandamano.

Acha upepo upulize tuone nyeti za kuku.
Maandamano ya kukataa Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi
 
Uzuri na ukweli ni kuwa umati wa cdm ni wa hiyari, sio wa nguvu za dola. Hayo maigizo ya ccm ndio huishia kupora uchaguzi, maana matokeo ya kura hayaendani na maigizo Yao.
 
CCM CHAMA CHANGU, TUSIIGE UTOTO WA CHADEMA, >Nimemaliza.
Tuimarishe matawi ya chama chetu, tuhakiki wanachama wetu, tutoe kadi mpya, tusajili wanachama wapya.
UHAI WA CHAMA UNASHIKILIWA NA MASHINA, ACHENI HAO WASHUGHULIKE NA VYAUPEPO!
SISI CCM TUIMARISHE DATA BASE YETU YA WANACHAMA TOKA MILIONI 7,TULIOPO SASA TUFIKIE MILIONI 15.
Juzi mwenyekiti wa ccm kiunyonge sana aliwaambia JWTZ wawe tayari kwa lolote wakati wa uchaguzi, huko ndio iliko nguvu ya ccm. Bila mbeleko ya jeshi ccm ni kama TLP.
 
Kwa habari za kuaminika zinasema kwamba CCM imejipanga kufanya maandamano makubwa sana jijini Dar Es Salaam ili kuwafunika chadema.

Kiongozi mmoja wa chama hicho amesena kwamba wamejipanga kufanya maandamano hayo ya kumpongeza Rais Dr. Samia kwa kuruhusu demokrasia nchini.

Kiongozi huyo ameongeza kuwa kamwe hawawezi kushindwa na chama kidogo kama chadema hivyo wao CCM wanakuja na maandamano ya funga mwaka ili kuzima kelele zote za chadema.

Kila mkoa ambao chadema wanakwenda kufanya maandamano CCM wanakwenda kusafisha mazingira.

Maandamano hayo ya CCM jijini Dar yatahusisha wakazi wote wa Dar na viunga vyake vyote ili kuwafundisha chadema maana halisi ya maandamano.

Acha upepo upulize tuone nyeti za kuku.
Chawa mfawidhi Lucas de Mwashambwa Lucas mwashambwa amelike
 
Inaweza ikawa kweli maana CCM hawana akili kwasababu ni haohao walizuia leo wataandamana kupongeza walichokuwa wakikikataa. Swali je, hakutakuwa na uvunjifu wa amani na askari kusafisha jiji?
 
Kwa habari za kuaminika zinasema kwamba CCM imejipanga kufanya maandamano makubwa sana jijini Dar Es Salaam ili kuwafunika chadema.

Kiongozi mmoja wa chama hicho amesena kwamba wamejipanga kufanya maandamano hayo ya kumpongeza Rais Dr. Samia kwa kuruhusu demokrasia nchini.

Kiongozi huyo ameongeza kuwa kamwe hawawezi kushindwa na chama kidogo kama chadema hivyo wao CCM wanakuja na maandamano ya funga mwaka ili kuzima kelele zote za chadema.

Kila mkoa ambao chadema wanakwenda kufanya maandamano CCM wanakwenda kusafisha mazingira.

Maandamano hayo ya CCM jijini Dar yatahusisha wakazi wote wa Dar na viunga vyake vyote ili kuwafundisha chadema maana halisi ya maandamano.

Acha upepo upulize tuone nyeti za kuku.
Ganda la muwa la jana. Chungu kaona kivuno
 
Mawazo ya kipimbi pimbi kbs....kwahiyo wanaandamana kumshukuru Samia kwa kushindwa kudhibiti mfumuko wa bei??? Yaani wanaenda kupongeza nn hasa
 
Kwani kuna mashindano ya Maandamano?🐼
Hakuna mashindano ya maandamano, chadema ni wapinzani, CCM ni chama tawala. Kila chama kina malengo tofauti.
Chadema wanapinga serikali.
CCM wanapongeza serikali.
Hawa wanapingana hawashindani.
 
Ningewaunga mkono kama wangeandamana kwa sababu ya hali mbaya ya maisha halafu wale vibaka wazoefu bado wamekalia viti wanamsumbua mbunge aliyesema ukweli yaani kulindana!
Toka lini ccm wakaandama kwasababu ya kero za wananchi? Unakumbuka maneno ya m/kiti wa CCM mkoa Mbeya akivyojibiwa makamu wa Rais Mh. Mpango alipotoa kero.
 
Mawazo ya kipimbi pimbi kbs....kwahiyo wanaandamana kumshukuru Samia kwa kushindwa kudhibiti mfumuko wa bei??? Yaani wanaenda kupongeza nn hasa
Tunawapongeza mbinguni kwa kumchukulia Samia fomu ya kugombea urais na kuwajulisha kwamba kumchukia Samia ni dhambi kwa Mungu.
Cc: Makonda
Lucas Mwasha mbwa
 
Kwa habari za kuaminika zinasema kwamba CCM imejipanga kufanya maandamano makubwa sana jijini Dar Es Salaam ili kuwafunika chadema.

Kiongozi mmoja wa chama hicho amesena kwamba wamejipanga kufanya maandamano hayo ya kumpongeza Rais Dr. Samia kwa kuruhusu demokrasia nchini.

Kiongozi huyo ameongeza kuwa kamwe hawawezi kushindwa na chama kidogo kama chadema hivyo wao CCM wanakuja na maandamano ya funga mwaka ili kuzima kelele zote za chadema.

Kila mkoa ambao chadema wanakwenda kufanya maandamano CCM wanakwenda kusafisha mazingira.

Maandamano hayo ya CCM jijini Dar yatahusisha wakazi wote wa Dar na viunga vyake vyote ili kuwafundisha chadema maana halisi ya maandamano.

Acha upepo upulize tuone nyeti za kuku.
CCM siku zote hawanaga ubunifu, wanangojea CDM waanze ili wao wa copy na ku paste
 
Kwa habari za kuaminika zinasema kwamba CCM imejipanga kufanya maandamano makubwa sana jijini Dar Es Salaam ili kuwafunika chadema.

Kiongozi mmoja wa chama hicho amesena kwamba wamejipanga kufanya maandamano hayo ya kumpongeza Rais Dr. Samia kwa kuruhusu demokrasia nchini.

Kiongozi huyo ameongeza kuwa kamwe hawawezi kushindwa na chama kidogo kama chadema hivyo wao CCM wanakuja na maandamano ya funga mwaka ili kuzima kelele zote za chadema.

Kila mkoa ambao chadema wanakwenda kufanya maandamano CCM wanakwenda kusafisha mazingira.

Maandamano hayo ya CCM jijini Dar yatahusisha wakazi wote wa Dar na viunga vyake vyote ili kuwafundisha chadema maana halisi ya maandamano.

Acha upepo upulize tuone nyeti za kuku.
Hajakudokeza wameandaa mamilioni ngapi ili kuwapa waandamaji na mabasi na malori mangapi ya kuwasomba watu wa mikoa inayopakana na Dar
 
Kwa habari za kuaminika zinasema kwamba CCM imejipanga kufanya maandamano makubwa sana jijini Dar Es Salaam ili kuwafunika chadema.

Kiongozi mmoja wa chama hicho amesena kwamba wamejipanga kufanya maandamano hayo ya kumpongeza Rais Dr. Samia kwa kuruhusu demokrasia nchini.

Kiongozi huyo ameongeza kuwa kamwe hawawezi kushindwa na chama kidogo kama chadema hivyo wao CCM wanakuja na maandamano ya funga mwaka ili kuzima kelele zote za chadema.

Kila mkoa ambao chadema wanakwenda kufanya maandamano CCM wanakwenda kusafisha mazingira.

Maandamano hayo ya CCM jijini Dar yatahusisha wakazi wote wa Dar na viunga vyake vyote ili kuwafundisha chadema maana halisi ya maandamano.

Acha upepo upulize tuone nyeti za kuku.
Wangedai Sasa na katiba mpya!!

Bango "MAMA WA KATIBA DAKT. SAMIAH SULUHU HASAN"
 
Back
Top Bottom