CCM Kuanguka Kwa CHADEMA is not our Party Interest we should Help Them!!

CCM Kuanguka Kwa CHADEMA is not our Party Interest we should Help Them!!

Joined
Apr 27, 2006
Posts
26,584
Reaction score
10,464
- Ni muda mrefu sasa kumekuwa na mtafaruku mzito ndani ya Chadema ambao umekuwa ukikitafuna sana chama hicho, na pia kuna utabiri mzito sana ulitolewa na Waziri Wassira kwamba Chadema ipo katika siku zake za mwisho. Ninasema hivi kufa kwa Chadema kama dalili zinavyoonyesha sasa hivi sio the best Interest ya chama chetu CCM. Tunahitaji kuwasaidia sana waendelee kuwepo kwa sababu they have proven time and time kwamba ni paper tiger tu, wazuri kwenye makaratasi lakini hawana nguvu yoyote kisiasa.

- Kupitishwa kwa musawada wa Katiba mpya juzi bungeni ni mfano mzito sana ulio hai wa jinsi wasivyo na nguvu kabisa za kisasa za opposed na makelele yao ya kila siku na lile gazeti lao lenye makao makuu yake kwenye Club ya Disco ya Mwenyekiti wao. Ninawaomba sana CCM tunahitaji kuwa makini sana na matatizo ya chama hicho sasa hivi, tutumie nafasi hii kuwasaidia wasiambaratike maana Chadema ikisambaratika tutaanza kufukuzana na adui tusiyemjua, ni bora kushindana na huyu huyu adui tunayemjua, anayelia posho za wabunge ni kubwa na huku anazipokea, anayelia lia kwamba magari ya wabunge ni ya gharama sana na huku anayapokea hayo hayo. Anayelia lia safari za Rais huku wabunge wake wanasafiri kila siku nje kwa visingizo vya kamati za bunge.

- AGAIN KWA WANA-CCM WOTE NI KWAMBA TUNAWAHITAJI SANA CHADEMA HII INAYOONGOZWA NA AKILI NDOGO, MAANA OTHERWISE TUTAKUTANA NA WAPINZANI WENYE AKILI KUBWA WATATUSUMBUA, TUWASAIDIE WASISMBATRATIKE!! ha! ha! ha!

- KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!


LE Mutuz Big Shoow!!
 
Kwanza unakosea. Kazi iliyoko CHADEMA ni kukiimarisha chama kwa kujali maslahi ya chama na siyo kulinda mtu au kiongozi. Kwa hiyo kile kilichoishinda CCM kiitwacho "lindana" huku CHADEMA hakipo. CHADEMA imara itatokana na maamuzi imara.

M4C idumu!
 
ndio maana muhongo anawaita watainzania washamba na wajinga sana
 
Jamani wenyewe wanasema wapo imara na hakuna mpasuko na siku si nyingi walisema hawana shida na victim wa kikao cha CC!!!!!!!

Baba anampiga mama na wakija majirani kuuliza kuna nini baba anasema hakuna shida tunaua panya!!!!!!

Fanyeni yenu na nyie huko mna dhamana kubwa na watu wala hatuko poa sana na nyie isipokuwa heshima tu,sasa kwa heshima tunayowapa hebu fanyeni ya mategemeo ya wananchi kuliko kuwa patron wa opposition parties na kuamsha yaliyolala!!!!!!!

Ushauri uliompa Pasco kwenye uzi kwa kumshauri Zitto uliandikiwa au uliandika mwenyewe?????!!!!!!
 
ha! ha! Fisi na mkono! Sasa M4C with no Apology! Mkoa kwa Mkoa,Wilaya kwa Wilaya,Kijiji kwa Kijiji,Mtaa kwa Mtaa,Nyumba kwa nyumba,Kitanda kwa kitanda, mtu kwa mtu mpaka kieleweke.
 
Ha ha ha, kweli akili zako mbovu, hakuna binadamu dispensable. Hii ni dhana iliyoko CCM sio CDM. Hao wawili hawana adabu. Hatua za kinidhamu zimechukuliwa. Wewe William umelelewa CCM hujui maadili ya uongozi, umefundishwa ufisadi. Tena nakushauri kasome maana ya ufisadi. Ufisadi ni ushetani 100%.
 
Sijui kama kinaweza kusambaratika kama wewe unavyofikilia na wenzio katika Chama Chako zaidi ya kusema kazi iliombele yao ni kukijenga Chama kizidi kuaminiwa na Watanzania, kidogo kwa haya yanayoendelea yanaweza kuwakatisha Baadhi yao moyo lakini yote ni Mapito lazima kuyapitia ili mfikie malengo myatakayo katika Siasa ya Tanzania na Maendeleo ya nchi kiujumla.
 
CCM shida yao ni moja tu,.

Wanadhani CDM imeshikiliwa na mtu mmoja tu,.

Hata aondoke Mbowe bado CDM itaendelea kusimama Daima!!
 
ndio maana muhongo anawaita watainzania washamba na wajinga sana

Kama una kifua,ubongo imara na uwezo wa kusimamia hii "matusi yako" hebu anzisha uzi tukufuate huko sisi watanzania wajinga na washamba sana!!!!!!!
 
Kwanza unakosea. Kazi iliyoko CHADEMA ni kukiimarisha chama kwa kujali maslahi ya chama na siyo kulinda mtu au kiongozi. Kwa hiyo kile kilichoishinda CCM kiitwacho "lindana" huku CHADEMA hakipo. CHADEMA imara itatokana na maamuzi imara.

M4C idumu!

Ikiwa chama hakijaimarika kwa miaka 20 si ndio "akili ndogo" yenyewe hiyo.
 
CCM shida yao ni moja tu,.

Wanadhani CDM imeshikiliwa na mtu mmoja tu,.

Hata aondoke Mbowe bado CDM itaendelea kusimama Daima!!

- It does not matter inaongozwa na nani bado ni paper tiger tu, until siku itakapoongozw ana wasomi kama Kitila na Zitto mnaowafukuza ndio mnaweza kuitisha CCM.

LE Mutuz
 
- ni muda mrefu sasa kumekuwa na mtafaruku mzito ndani ya chadema ambao umekuwa ukikitafuna sana chama hicho, na pia kuna utabiri mzito sana ulitolewa na waziri wassira kwamba chadema ipo katika siku zake za mwisho. Ninasema hivi kufa kwa chadema kama dalili zinavyoonyesha sasa hivi sio the best interest ya chama chetu ccm. Tunahitaji kuwasaidia sana waendelee kuwepo kwa sababu they have proven time and time kwamba ni paper tiger tu, wazuri kwenye makaratasi lakini hawana nguvu yoyote kisiasa.

- kupitishwa kwa musawada wa katiba mpya juzi bungeni ni mfano mzito sana ulio hai wa jinsi wasivyo na nguvu kabisa za kisasa za opposed na makelele yao ya kila siku na lile gazeti lao lenye makao makuu yake kwenye club ya disco ya mwenyekiti wao. Ninawaomba sana ccm tunahitaji kuwa makini sana na matatizo ya chama hicho sasa hivi, tutumie nafasi hii kuwasaidia wasiambaratike maana chadema ikisambaratika tutaanza kufukuzana na adui tusiyemjua, ni bora kushindana na huyu huyu adui tunayemjua, anayelia posho za wabunge ni kubwa na huku anazipokea, anayelia lia kwamba magari ya wabunge ni ya gharama sana na huku anayapokea hayo hayo. Anayelia lia safari za rais huku wabunge wanasafiri kila siku nje kwa visingizo vya kamati za bunge.

- again kwa wana-ccm wote ni kwamba tunawahitaji sana chadema hii inayoongozwa na akili ndogo, maana otherwise tutakutana na wapinzani wenye akili kubwa watatusumbua, tuwasaidie wasismbatratike!! Ha! Ha! Ha!

- kidumu chama cha mapinduzi!!


Le mutuz big shoow!!

mawazo yako ni ya kiulevi ulevi hivi,acha kudhani kuwa watanzania wa leo unaweza kuwageuza unavyotaka,chadema tuna solidarity ya ki-chama si ki-mtu.enzi za wale mliowaweza eg.mrema zimepita,je unakumbuka dr.lamwai aliposema chama chenye mtu mwenye tabia ya kambare'kuteleza na masharubu'kamwe hakitafanikiwa?ref.nccr-mageuzi.kwa maana hiyo mwanachama yeyote anayeteleza na anamasharubu na aenguliwe tu.chama ni cha watu,watu ni wa mungu,mungu atawalinda watu na watu watamaliza na mungu.
 
Ukoo a Panya mnahangaika sana, kwa nininyie nd mnaumia sana kuliloCDM?

Soma post namba 1.

Tunahofia sana mtu kama Zitto akiamuwa kuungana na Hamad Rashid wakaanzisha chama kipya. Hao watu wana mvuto, wana akili na wachapa kazi na hawako kimaslahi zaidi.

Ni bora chadema kibaki na viongozi hao hao wenye akili kiduchu wazidi kuzibana nguvu za kina Zitto na Kitila. Wakiondoka huko ni kasheshe kwa CCM
 
kwanza unakosea. Kazi iliyoko chadema ni kukiimarisha chama kwa kujali maslahi ya chama na siyo kulinda mtu au kiongozi. Kwa hiyo kile kilichoishinda ccm kiitwacho "lindana" huku chadema hakipo. Chadema imara itatokana na maamuzi imara.

M4c idumu!


shibuda
 
- It does not matter inaongozwa na nani bado ni paper tiger tu, until siku itakapoongozw ana wasomi kama Kitila na Zitto mnaowafukuza ndio mnaweza kuitisha CCM.

LE Mutuz

Akili zako zinakutuma bila hao hakuna CHADEMA? subirini muone kazi itakayofanyika wanafki wote wakishaondoka, mmemsikia mmoja aliyeitabiria CHADEMA itakufa lkn hamjasikia maelfu ya watabiri wanaotabiria kifo cha CCM 2015.
 
Back
Top Bottom