Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
Tunahitaji aina ya wabunge wenye ujasiri wa kuzungumza na kukemea maovu kama alivyofanya Askofu Gwajima, lakini cha kushangaza kwa CCM watu wa aina hii ni maadui na hawana nafasi chamani mwao
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni kimesema Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima ameliacha jimbo hilo, na kwamba watawaletea mwakilishi mzuri, hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Shaweji Mkumbula.
Video: FLOW MEDIA tz