CCM kimekuwa chama cha hovyo sana

CCM kimekuwa chama cha hovyo sana

Mdaiwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2025
Posts
696
Reaction score
1,533
Hili lichama limekuwa kituko sana. Kuna mambo linafanya hadi unajiuliza hivi hawa jamaa hawana hata aibu?

Mnakumbuka yale maandamano yaliyoandaliwa na Diaspora wa Marekani? Eti nayo maccm yakaandaa maandamo ya kumpongeza Samuya kucounter attack. Yakakodisha wameksico (Mexicans) waandamane kumsifia Samuya. Wameksico hawajui hata kiswahili jamani, wakakodishwa ili wajifanye watanzania. Just imagine akili gani hii jamani, fuckin pathetic! Yaani haya majamaa yapo tayari kufanya chochote kwa gharama yoyote ili tu yaonekane yanakubalika.

Hii mijamaa akipatikana rais mzalendo ainyonge yote hadi kufa. Imeumiza sana watanzania hii mishetani. Inatumia hela ya walipakodi vibaya sana. Just imagine ile document iliyovuja 20bilion kwa ajili ya kazi maalumu ingepelekwa kwa ajili ya miundo mbinu ya maji tu kwa Dar, shida ya maji ingekuwa bye bye, lakini kwa sababu yapo tayari kufanya chochote hata kama ni cha hovyo ili yabaki madarakani yanatumia kodi za watanganyika kuwamaliza haohao walipakodi. Halafu bila aibu yanasema aliyevujisha hiyo document sio mzalendo.

Hivi nani mzalendo kati ya anayeexpose matumizi mabaya ya hela ya umma na huyu anayeidhinisha 20bilion kwa ajili ya kazi maalumu ya kuteka na kupoteza watanganyika? Yaani ikipatikana katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ccm ikipata hata 4% ya kura itakuwa muujiza. Ni dhahiri CCM inatawala kwa mtutu wa bunduki na utapeli lakini sio kwa ridhaa ya wananchi.
 
Kodi zetu zinatumika kijinga Sana kwanini hizo pesa zisitumike kuvuta maji kutoka mto Rufiji Hadi DAR!
 
Kutoka Katibu wa UN, hadi Katibu wa Chama. Hii nayo inafikirisha. Uzee na hadhi kushushwa usitegemee maajabu. Alipaswa apunzike alee wajukuu tu
 
Back
Top Bottom