Urban Edmund JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 2,267 Reaction score 3,647 Jul 6, 2023 #21 KingCobra95 said: Hao mapimbi wanaorekodi tukio kama hili ndio mamluki..wanawachoma wenzao hivi hivi Click to expand... kwani ni dhambi ?
KingCobra95 said: Hao mapimbi wanaorekodi tukio kama hili ndio mamluki..wanawachoma wenzao hivi hivi Click to expand... kwani ni dhambi ?
Nshomile wa Muleba JF-Expert Member Joined Dec 5, 2015 Posts 2,165 Reaction score 5,639 Jul 6, 2023 #22 HATIMAYE UMMA WA WATANZANIA WAMESTUKA NA WAMEANZA RASMI KUJITAMBUA. TUNATAKIWA TUFANYE HIVI PALE MAKAO MAKUU YAO DODOMA BINAFSI NITASHIRIKI KWA KUSHIKA NYUNDO NA KUBOMOA VIBAO NA KUICHANACHANA BENDERA
HATIMAYE UMMA WA WATANZANIA WAMESTUKA NA WAMEANZA RASMI KUJITAMBUA. TUNATAKIWA TUFANYE HIVI PALE MAKAO MAKUU YAO DODOMA BINAFSI NITASHIRIKI KWA KUSHIKA NYUNDO NA KUBOMOA VIBAO NA KUICHANACHANA BENDERA
Lwiva JF-Expert Member Joined Apr 17, 2015 Posts 21,138 Reaction score 29,713 Jul 6, 2023 #23 Muhuni mzee wa msoga na genge lake walikula mpaka wakatutapikia wananchi tukalalamika sana ila sasa Samia anakula mpaka anatunyea na kutuharishia kabisa
Muhuni mzee wa msoga na genge lake walikula mpaka wakatutapikia wananchi tukalalamika sana ila sasa Samia anakula mpaka anatunyea na kutuharishia kabisa
hamada umelewa JF-Expert Member Joined Dec 17, 2017 Posts 556 Reaction score 974 Jul 6, 2023 #24 peno hasegawa said: Bandari, bandari Bandari ===== View attachment 2679766 Tawi la CCM linalosomeka Kinondoni Mjini lavunjwa na wananchi. Click to expand... Hii mara ya kwanza niliiona 2021 sijui exactly ni ya lini ila sio ya sasa
peno hasegawa said: Bandari, bandari Bandari ===== View attachment 2679766 Tawi la CCM linalosomeka Kinondoni Mjini lavunjwa na wananchi. Click to expand... Hii mara ya kwanza niliiona 2021 sijui exactly ni ya lini ila sio ya sasa
Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 17,566 Reaction score 28,527 Jul 6, 2023 #25 peno hasegawa said: Kimeumana huku Tabora Click to expand... Sasa huyu na bandsri wapi na wapi?
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,236 Reaction score 98,405 Jul 6, 2023 #26 Ngalikihinja said: Inasemekana hii ya zamani..!! Sina uhakika lakini Click to expand... Ya zamani kidogo na ililetwa humu.
Ngalikihinja said: Inasemekana hii ya zamani..!! Sina uhakika lakini Click to expand... Ya zamani kidogo na ililetwa humu.
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,236 Reaction score 98,405 Jul 6, 2023 #27 peno hasegawa said: Kimeumana huku Tabora Click to expand... Daah!! CCM wanatapeli mpaka "K"?
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 37,960 Jul 6, 2023 #28 imhotep said: Ya zamani kidogo na ililetwa humu. Click to expand... Kwahiyo haina uhusiano na bandari kupewa waarabu?
imhotep said: Ya zamani kidogo na ililetwa humu. Click to expand... Kwahiyo haina uhusiano na bandari kupewa waarabu?
Mwande na Mndewa JF-Expert Member Joined Feb 26, 2021 Posts 1,250 Reaction score 3,451 Jul 6, 2023 #29 Boti linaelekea kugonga Mwamba,mikataba 30 iliyosainiwa Dubai kama itaonekana yenye kuliuza Taifa basi watu wataikataa CCM. Your browser is not able to display this video.
Boti linaelekea kugonga Mwamba,mikataba 30 iliyosainiwa Dubai kama itaonekana yenye kuliuza Taifa basi watu wataikataa CCM. Your browser is not able to display this video.
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,236 Reaction score 98,405 Jul 6, 2023 #30 Ngalikihinja said: Kwahiyo haina uhusiano na bandari kupewa waarabu? Click to expand... Wakati huo CCM ilikuwa inataka kutapeli kiwanja.
Ngalikihinja said: Kwahiyo haina uhusiano na bandari kupewa waarabu? Click to expand... Wakati huo CCM ilikuwa inataka kutapeli kiwanja.
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 50,256 Reaction score 96,421 Jul 6, 2023 #31 Mwande na Mndewa said: Boti linaelekea kugonga Mwamba,mikataba 30 iliyosainiwa Dubai kama itaonekana yenye kuliuza Taifa basi watu wataikataa CCM. Click to expand... hii picha ya zamani haihusiani na maafa ya sasa
Mwande na Mndewa said: Boti linaelekea kugonga Mwamba,mikataba 30 iliyosainiwa Dubai kama itaonekana yenye kuliuza Taifa basi watu wataikataa CCM. Click to expand... hii picha ya zamani haihusiani na maafa ya sasa
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,844 Reaction score 119,042 Jul 6, 2023 #32 Binafsi nakiombea sana njaa hiki kikundi.
Jemima Jackson JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 752 Reaction score 939 Jul 6, 2023 #33 Rais wa kwanza kutoka upinzani
B Benny Haraba JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 15,656 Reaction score 14,616 Jul 6, 2023 #34 C peno hasegawa said: Bandari, bandari Bandari ===== View attachment 2679766 Tawi la CCM linalosomeka Kinondoni Mjini lavunjwa na wananchi. === JamiiForums imefanyia kazi suala hili, soma: Ofisi za CCM Kinondoni zavunjwa kisa Mkataba wa DP World Click to expand... comments reserved
C peno hasegawa said: Bandari, bandari Bandari ===== View attachment 2679766 Tawi la CCM linalosomeka Kinondoni Mjini lavunjwa na wananchi. === JamiiForums imefanyia kazi suala hili, soma: Ofisi za CCM Kinondoni zavunjwa kisa Mkataba wa DP World Click to expand... comments reserved
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 25,937 Reaction score 41,104 Jul 6, 2023 #35 Propaganda.
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 13,737 Reaction score 27,100 Jul 6, 2023 #36 chadema ni gunia la tumbaku
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 17,284 Reaction score 23,579 Jul 6, 2023 #37 peno hasegawa said: Bandari, bandari Bandari ===== View attachment 2679766 Tawi la CCM linalosomeka Kinondoni Mjini lavunjwa na wananchi. === JamiiForums imefanyia kazi suala hili, soma: Ofisi za CCM Kinondoni zavunjwa kisa Mkataba wa DP World Click to expand... Tuachane na CCM sasa imetosha.
peno hasegawa said: Bandari, bandari Bandari ===== View attachment 2679766 Tawi la CCM linalosomeka Kinondoni Mjini lavunjwa na wananchi. === JamiiForums imefanyia kazi suala hili, soma: Ofisi za CCM Kinondoni zavunjwa kisa Mkataba wa DP World Click to expand... Tuachane na CCM sasa imetosha.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,752 Reaction score 830,878 Jul 6, 2023 #38 peno hasegawa said: Bandari, bandari Bandari ===== View attachment 2679766 Tawi la CCM linalosomeka Kinondoni Mjini lavunjwa na wananchi. === JamiiForums imefanyia kazi suala hili, soma: Ofisi za CCM Kinondoni zavunjwa kisa Mkataba wa DP World Click to expand... Duh kisa mkasa? Sent using Jamii Forums mobile app
peno hasegawa said: Bandari, bandari Bandari ===== View attachment 2679766 Tawi la CCM linalosomeka Kinondoni Mjini lavunjwa na wananchi. === JamiiForums imefanyia kazi suala hili, soma: Ofisi za CCM Kinondoni zavunjwa kisa Mkataba wa DP World Click to expand... Duh kisa mkasa? Sent using Jamii Forums mobile app
dyuteromaikota JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 5,936 Reaction score 8,345 Jul 6, 2023 #39 peno hasegawa said: Bandari, bandari Bandari ===== View attachment 2679766 Tawi la CCM linalosomeka Kinondoni Mjini lavunjwa na wananchi. === JamiiForums imefanyia kazi suala hili, soma: Ofisi za CCM Kinondoni zavunjwa kisa Mkataba wa DP World Click to expand... Hatimaye wanaume wa kinondoni wamefanya kitu ambacho hata wale wa mikoani waliokuwa wanajitapa hawajawahi kufanya.
peno hasegawa said: Bandari, bandari Bandari ===== View attachment 2679766 Tawi la CCM linalosomeka Kinondoni Mjini lavunjwa na wananchi. === JamiiForums imefanyia kazi suala hili, soma: Ofisi za CCM Kinondoni zavunjwa kisa Mkataba wa DP World Click to expand... Hatimaye wanaume wa kinondoni wamefanya kitu ambacho hata wale wa mikoani waliokuwa wanajitapa hawajawahi kufanya.
W WhoWeBe JF-Expert Member Joined Dec 18, 2022 Posts 2,297 Reaction score 4,292 Jul 6, 2023 #40 Tafuta mbinu nyingine baba'angu!!! Hiyo imebumaaaaa!!!