Sijasema imekuwa taabu kuleta hii picha, pointi hapa ni kuwa mjini kigoma kuna mvutano mkubwa wa CCM na CHADEMA na kila mahali wanaweka vijembe vyao. Nilichosema na maana ya post yangu ni kuwa watu wa chadema huko kigoma ndio wameandika hili tangazo, kuwadhihaki wana ccm na kadi zao na kauli mbiu yao ya maisha bora kwa kila mtanzania. Sijasema na kumaanisha kwamba wewe CHADEMA au forum hii kijiwe cha CHADEMA. Ukisoma hiyo post yangu hakuna popote naposema au kussugest hicho kitu.