Elections 2010 CCM kidedea

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
699
237
Chama Tawala CCM, kimetwaa Halmashauri ya wilaya ya Kigoma. CCM OYEEEEEEE!!!!!!!!
 
Chama Tawala CCM, kimetwaa Halmashauri ya wilaya ya Kigoma. CCM OYEEEEEEE!!!!!!!!

Tupe source, hili leo hii kuna mtanzania wa kawaida atakaye furahi kiongozi wake kuwa fisadi, au ni mafisadi wanapongezana humu?
 
Shangaa sasa kina Zitto walikuwa wapi?Chadema ilikuwa inamadiwani wengi,imekuwaje tena washindwe?kweli zitto ni kirusi cha ukimwi kinachoishi ndani ya mwili wa CHADEMA!!
 
Chama Tawala CCM, kimetwaa Halmashauri ya wilaya ya Kigoma. CCM OYEEEEEEE!!!!!!!!

OYEEEEE, KU?><>YO_(_?*?7YO OYEEEE US:%^&^%^&GE

Kigoma Ujiji, ni moja ya sehemu duni sana duniani, imekuwa chini ya utawala wa CCM OYEEE miaka nenda rudi, na bado iko nyuma. Sasa hizi Oyee ni za nini? Nasema tena Oyeee oyeee oyeeee oyeeee ku$$$%$%yo Mods ukipenda nifungie kwanza hili jamvi limeshaingiliwa na kina JK na January Makamba, so simind kufungiwa, kuna mitandao meingine moto zaidi kuliko hili jamvi, so nifungie ntahamia uko poa tu. CCM oyeee my feet
 
UKIONA MTU ANASHANGILIA KAMA MUYA JUA HUYO FISADI!!! ''''''' Oyeee..Oyeee....Wakati watu maskini...Mnafki huyu...FISADI TU!
 
Chama Tawala CCM, kimetwaa Halmashauri ya wilaya ya Kigoma. CCM OYEEEEEEE!!!!!!!!

Taarifa za Uhakika ni:

Wana CDM kwa ZiTto Vijijini(Kaskazini) na kule kulikuwa.

CCm madiwani walikuwa 2 zaidi ya CDM

na matokeo ni hivo hivyo,

Kigoma Mjini:

CDM inawazidi CCM diwani mmoja.

Kilichojili pia ktk kupendekeza meya Upande CCm walivurugana hivyo kuna uwezekano wengi wakapigia CDM

Hivo Mkurugenzi ameahihisha jamani uchaguzi wa Kigoma mjini.
 
Uchaguzi uliofanyika ni Kigoma vijijini.

Tumezidiwa kura 2 kama idadi ya madiwani wetu walivyo.

CCM Kigoma mjini wamevurugana, ndiyo maana wameahirisha uchaguzi.

Bila shaka iko Clear sasa.
 
Spencer,
Halmashauri hiyo inaundwa na majimbo ya Kigoma kusini na kaskazini. Juzi juzi Zitto kaandika hapa kuwa halmashauri hiyo itaongozwa kwa ushirikiano wa madiwani wa NCCR na CHADEMA ambao kwa pamoja wanazidi idadi ya wale wa CCM. Kuna usaliti umefanyika mpaka CCM wakashinda?
 
Ninyi mbona mnakuwa wepesi.

Kigoma mjini CDM 11 na CCM 9 (1 Mbunge kama mjumbe) nieleweni vizuri, hapa mjini CCM wamegombana kumpata diwani wa kushinda na CDM hivyo kwanza wamehofia kupata kura chache hata za kwao ndyio maana wameahirisha uchaguzi.

Jimbo la Zitto Kabwe kuna madiwani wa CCM na CDM tuu na ndiyo huko kumefanyika uchaguzi jana.

Maeneo ya Kasulu ambako Mh. Mkosa mali(NCCR) ndiko kwenye mchanganyiko wa CCM,NCCR,CDM nk
 
Spencer,
Talk about Kigoma District Council which comprises Zitto's and Kafulila's constituencies.
 
Back
Top Bottom