CCM kidedea tena

CCM kidedea tena

attachment.php

Mlimba na Babati mbaona sielewi?
 
unaweza ukawa una akili ya maiti
Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika nafasi ya uenyekiti wa kitongoji cha Halla B katika Kata ya Nangara wilayani babati, Christopher Paschal, ameshinda nafasi hiyo baada ya kumwangusha Paulo John wa Chadema.
Akitangaza matokeo ya Uchaguzi huo uliofanyika jumapili iliyopita, msimamizi msaidizi Christopher Bainet, alisema Paschal aishinda kwa asilimia hamsini na mbili (52%) ya kura zote halali.

Kwa kasi hii chadema hawafiki 2015.,wakati Lissu anafanya mkutano wa hadhara uliohudhiriwa na watu kumi na moja Segerea, CCM inaendelea kuimarika kila kona ya nchi. CCM haina kanda kuwa mikutano yake ya kanda fulani tu ndio inapata watu wala haina aina haina fulani ya watu tu ndio watashinda. CCM popote na kwa yeyote inakubalika...!

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimejipanga zaidi katika kuhakikisha kuwa kinawafikia watu wa aina zote na kada zote.,imejipanga vijijini mpaka mijini. Chadema wako busy wanaitisha maandamano mijini, wanasahau more than 80% ya population ya Tanzania wanaishi vijijini tena wakulima ambao wanaamini katika maisha ya kijamaa na wanafuata imani ya chama cha wakulima na wafanyakazi CCM.

NB: Picha ikionesha hali ya chadema maeneo ya vijijini.,ofisi imefungwa haifanyi kazi.
 
Mbona ulinyamza tuli mulivyolizwa momba na geita ha ha ofisi za CCM ngapi nchi nzima zimejaa buibui its good now that you understand that your main competitor is chadema ndio tuitaka hali ifikie hapo CCM kuingia kihoro wakisikia chadema
 
Ccm inaugua ugonjwa kansa ya damu..
Kupona haiwezekani
 
Ccm kushinda ni kawaida yake cdm mtaisubiru sana mwakani mtakuwa na hali mbaya sana yetu machiooo
 
Anayekishabikia hiki chama(chadema) sidhani kama ana akili timamu.Mtu na baba mkwe wake ndo mitume watu maajabu kweli yapo Chadema

Sio kwamba anayeshabikia CCM ndio punguani, urais umekuwa cheo cha familia au ndio ukipenda chongo linakugeuka kengeza? hembu tafakari kidogo juu ya ushindi wa kimbunga 80% mwaka 2005 na anguko la kimbunga 61% za kuiba mwaka 2010,tafakari itakuwaje 2015....chama kilicholeta uhuru leo kinashangilia kwa mikogo ushindi wa 52%.
 
Nilipoona ni Tandale one tu , nilijua ulichoandika hata bila kusoma ! Sijui kwa nini ? sasa Tundu Lissu ameingiaje kwenye hii Thread yako ya Matokeo ya uchaguzi ?

samahani lakini....
ivi Nahum na Nape wanatofauti? alafu Nahum alishayakana matokeo yake ya 4m 4...
ndo maana nimesema samahini
 
Yaani mmetoka 98% na kufikia 52%? Kweli kifo cha CCM hakina dawa tena.

Mkuu na walivyo wajinga na wapumbavu, wanajipongeza...yale yale ya uchaguzi wa madiwani mwaka jana, eti wamepoteza viti vitatu kwa CHADEMA, bado wanajipongeza kwamba wamefanya vizuri...!!! Akili za watu wa ccm sijui zikoje? Yaani bora hata teja anaweza kukupa ushauri siyo mtu anayeshabikia chama cha KIJANI na NJANO...HOVYOOOO KABISAAAA!!!!
 
Mbona iliyofungwa ni Photo Studio sio ofisi ya Chadema? Hata hivyo, baada ya miaka zaidi ya 30 ya kuwa madarakani, bado bila aibu unakuja hapa kutangaza ushindi wa mwenyekiti wa kijiji wa chama tawala tena kwa kupata 52% ya kura? Acha kuiga kila kinachofanywa na Chadema, hao wana haki ya kuleta matangazo ya uchaguzi wa vijiji hapa kwani kwao is a big score, lakini si kwa chama kama CCM. Unatuangusha mkuu hata kama kwa post hii uenda mkono ukaenda kinywani!!!!

Tiba

baelezee bana
 
Post ya kipumbavu kabisa kuwahi kuletwa na kiongozi mkubwa kama wewe.

Bila haya mnaanza kusherehekea ushindi wa kijiji tena ambacho asilimia ya watu 48% wamewakataa.Hii siyo CCM niijuayo!
 
Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika nafasi ya uenyekiti wa kitongoji cha Halla B katika Kata ya Nangara wilayani babati, Christopher Paschal, ameshinda nafasi hiyo baada ya kumwangusha Paulo John wa Chadema.
Akitangaza matokeo ya Uchaguzi huo uliofanyika jumapili iliyopita, msimamizi msaidizi Christopher Bainet, alisema Paschal aishinda kwa asilimia hamsini na mbili (52%) ya kura zote halali.

Kwa kasi hii chadema hawafiki 2015.,wakati Lissu anafanya mkutano wa hadhara uliohudhiriwa na watu kumi na moja Segerea, CCM inaendelea kuimarika kila kona ya nchi. CCM haina kanda kuwa mikutano yake ya kanda fulani tu ndio inapata watu wala haina aina haina fulani ya watu tu ndio watashinda. CCM popote na kwa yeyote inakubalika...!

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimejipanga zaidi katika kuhakikisha kuwa kinawafikia watu wa aina zote na kada zote.,imejipanga vijijini mpaka mijini. Chadema wako busy wanaitisha maandamano mijini, wanasahau more than 80% ya population ya Tanzania wanaishi vijijini tena wakulima ambao wanaamini katika maisha ya kijamaa na wanafuata imani ya chama cha wakulima na wafanyakazi CCM.

NB: Picha ikionesha hali ya chadema maeneo ya vijijini.,ofisi imefungwa haifanyi kazi.
attachment.php

kwa hali hii ccm inaelekea kuzikwa.kwa ccm niliyo kuwa ninaifamu ya enzi za zidum fikra sahihi za mwenyekiti wa ccm kwa nafasi kama hizo ccm ilikuwa inapita bila kupingwa au ikipata mpinzani mpinzani alikuwa anapata kura kama 2 hivi moja yake mwenyewe na nyingine ya mke wake.kama ccm wamefikia hatua ya kushangilia ushindi wa asilimia 52 dhidi ya asilimia 48 za mpinzani kutoka ushindi wa kupita bila kupingwa.badala ya kusikitika na kujiuliza ni kwanini hali imekuwa hivyo wao wanashangilia basi ccm wamesha kuwa marehemu kinachosubiriwa ni mazishi tu.
 
Msingi wa hoja hii ni kuwa CCM imeendelea kuimarika na kuna kila kiashiria kuwa CHADEMA imeendela kufa kila kukicha. Lazima kama chadema inataka kuwa chama tawala ijipange hasa kwa maeneo ya vijijini ambako wapiga kura wengi wanapatikana. Ni mtazamo tu...!
 
Back
Top Bottom