CCM kidedea tena

CCM kidedea tena

Mkuu na walivyo wajinga na wapumbavu, wanajipongeza...yale yale ya uchaguzi wa madiwani mwaka jana, eti wamepoteza viti vitatu kwa CHADEMA, bado wanajipongeza kwamba wamefanya vizuri...!!! Akili za watu wa ccm sijui zikoje? Yaani bora hata teja anaweza kukupa ushauri siyo mtu anayeshabikia chama cha KIJANI na NJANO...HOVYOOOO KABISAAAA!!!!

Kamanda, mie kama ndugu yangu ni CCM, niko tayari kubadilishana na kuku. Kuku utamchinja upate supu, lakini ndugu yako akiwa CCM ni sawa na kukaa na bomu nyumbani.
 
Kama wapo ambao bado wanaamini katika CDM ni wachache tena watu wa familia moja tu hapa nchini. Kwa haya yaliyoendelea kudhihiri kila kukicha kuhusu hawa jamaa na mikakati yao ya kutisha na inayolenga kuliingiza taifa kwenye machafuko makubwa.
Ni watu hatari sana kuaminiwa.
 
Uimara na Ukomavu wa Chama Cha Mapinduzi, si tu wa kihistoria bali upo zaidi kimfumo na kimtindo. Ni uimara unaotokana na muundo wake.,muundo ambao viongozi wanatenda kulingana na wajibu na majukumu yao ndani ya wigo wa nafasi zao kikatiba. Ni Chama chenye viongozi wanaojua nini maana ya kuongoza. NAJISIKIA FURAHA NA AMANI KUWA MWANA-CCM.
 
Umejua haya uliyoyaandika hapa lini? Kama umeyajua baada ya kutoka CHADEMA:
(a) Ina maana ulikuwa mbu mbu mbu kabla hujajiunga na CHADEMA kiasi cha kutoziona hizo "sifa za ccm"?
(b) Assuming allegations zako za sasa kuhusu CHADEMA ni za kweli ina maana YOU ARE SUCH A SLOW LEARNER hadi ikuchukue all that long kuzigundua kasoro zao (ikitiliwa maanani kuwa si tu ulikuwa kiongozi wa vijana CHADEMA bali pia ULING'ANG'ANIA kuwa kiongozi hata pale ulipofukuzwa)???

Whether (a) and/or (b) above is correct, utatuaminishaje kuwa sasa UNAJUA UNACHOKIFANYA kiasi kuwa "hutagundua" kitu kipya kuhusu ccm???
 
Uimara na Ukomavu wa Chama Cha Mapinduzi, si tu wa kihistoria bali upo zaidi kimfumo na kimtindo. Ni uimara unaotokana na muundo wake.,muundo ambao viongozi wanatenda kulingana na wajibu na majukumu yao ndani ya wigo wa nafasi zao kikatiba. Ni Chama chenye viongozi wanaojua nini maana ya kuongoza. NAJISIKIA FURAHA NA AMANI KUWA MWANA-CCM.

dada una haki kuwa na furaha kwa sababu ndo unakopatia unga wa ugali.
Lakin mbona unafanya siasa chafu?unamatusi sana tena unaowatukana pengine ni sawa kiumri na wazazi wako,au ndo kaz ulopewa na hcho chama kuwa ukitukana unapata malipo mazur na bonus?
Unless you are guaranted to live very few years ila kama utabarikiwa kuishi miaka mingi sijui utakuja kuwa mama wa aina gani.
Akili za kupewa changanya na zako.
 
Back
Top Bottom