Nyie mkitaka kugoma gomeni, na mkitaka kutulia msome someni. Hizi habari za CCM blabla zinatoka wapi? Nyie siku zote mkigoma, mnagomea matatizo yenu tu, hamkuwahi kugomea mambo yenye maslahi kwa taifa. Sasa hivi watu mitaani wapo busy kujadili katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, ninyi mmenyamaza kimya. Mkikosa mkopo mnakuja mbio kulia hapa, mara CCM mara serikali.... sisi tuwasaidiaje bwana... ili hali na ninyi matatizo yetu hamyajali.....