CCM kiacheni UDSM kiwe huru

kanywaino

Senior Member
Sep 10, 2010
171
19
wanafunzi wa udsm tumechoshwa na harakati za migomo zinazoendelea na kuchochewa sana na vyama vya siasa vya nchiii.....tunataka kusoma...sio migomo .
 
Ni katiba inayomuunganisha president na chuo, once tukibadili katiba everything will be sorted. Daini katiba kwanza
 
wanafunzi wa udsm tumechoshwa na harakati za migomo zinazoendelea na kuchochewa sana na vyama vya siasa vya nchiii.....tunataka kusoma...sio migomo .

acha uwoga.

gomeni kwa kudai Katiba mpya ya nchi mutaonekana wa maana.
 
wanafunzi wa udsm tumechoshwa na harakati za migomo zinazoendelea na kuchochewa sana na vyama vya siasa vya nchiii.....tunataka kusoma...sio migomo .

Waache wadai haki yao

Ijumaa iliyopita nilikuwa hapo chuo nikasikia kuwa wanafunzi wanataka kugoma Jumamosi lakini ilipofika jion nikaangalia taarifa ya habari sikuona kitu,
vipi bado wanajibanga? najaribu kufatilia huu mgomo chini kwa chini nitawaletea undani wake maana sasa UDSm kumetanda wasiwasi ya wanafunzi kugoma lakini inawezekana wanagoma kwa masirahi yao kama mikopo
 
Nyie mkitaka kugoma gomeni, na mkitaka kutulia msome someni. Hizi habari za CCM blabla zinatoka wapi? Nyie siku zote mkigoma, mnagomea matatizo yenu tu, hamkuwahi kugomea mambo yenye maslahi kwa taifa. Sasa hivi watu mitaani wapo busy kujadili katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, ninyi mmenyamaza kimya. Mkikosa mkopo mnakuja mbio kulia hapa, mara CCM mara serikali.... sisi tuwasaidiaje bwana... ili hali na ninyi matatizo yetu hamyajali.....
 
Udsm na wanafunzi wengine mnakosa mkopo sababu katiba imepitwa na wakati
 
hivi mgogoro wa kipara kujiingiza TAHRISO wakati udsm imejitoa huko ni mpango wa ccm eh?
mgomo wa nini kwanza?

Ni umbea huu jamani,wanao goma au kuongelea mgomo wana matatizo yao wenyewe na sioni la maana katika mikutano ya kila siku!
Bora kungekuwa na madai ya kuongezewa allowance mngenipata ila kwa haya madai ya raisi ajiuzulu ndio mfanye mgomo?
kwa faida ya nani kwanza?

Shit,tupa kule gomeni wenyewe kama mmechoka kusoma au hamjalipa ada
 
wanafunzi wa udsm tumechoshwa na harakati za migomo zinazoendelea na kuchochewa sana na vyama vya siasa vya nchiii.....tunataka kusoma...sio migomo .

mgomo wa nini? na kwa nini usiwashawishi wenzako wasigome? achana na blogs hizi, huwa hazizuii migomo kama watu wameamua!

si kweli wanasiasa wanaleta migomo chuo, hali halisi
 
Nini ? Kunji UDSM muhimu, enzi zetu palikuwa hapatoshi...wakileta magumashi pigeni kunji tu...!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom