Hasa! Hii ndo filosofia ya siku nyingi ya hao jamaa.Tumia mbao za meli uliyomo,jenga kamashua kako uishie kivyako baharini! Gwiji wa filosofia hii alitengeneza kimashua chake siku nyingi akakizindua arusha tarehe 30/5/2015
Unapewa pesa ya kujenga daraja alafu unakwapua pesa nusu na kujenga hekalu then daraja unajenga 'disposable'. Matokeo yake maendeleo yanakuwa ni magorofa yanayoporomoka wakati wowote na foleni za magari makuu kuu kwenye jiji moja!Hasa! Hii ndo filosofia ya siku nyingi ya hao jamaa.Tumia mbao za meli uliyomo,jenga kamashua kako uishie kivyako baharini! Gwiji wa filosofia hii alitengeneza kimashua chake siku nyingi akakizindua arusha tarehe 30/5/2015