MasaiSupai
Senior Member
- Jan 18, 2013
- 109
- 32
itashinda Dokita Slaa, sidi ya Lowuassa, kwa sababu CCM wengi inamwogopa Lowuassa, wataipigia kura Chadema kwa makusudi, ili fimbo ya moto ya Olaiguanani asiwakute.
Embu utuondolee "UHARO" wako hapa,!!!! kwa hiyo wewe kwa akili yako ndogo umeona kua umeandika kitu cha maana hapo?? Eti Zitto atagombea Urais 2015 kwa NCCR! Unadhani hatujui kuwa hiyo ndio Mipango yenu mnayofanya kila Ikuchapo,kuwatumia Mamluki ili Kuwagombanisha CDM,? Kwa taarifa yako CDM, sio Dk Slaa,sio Mbowe wala sio Zitto, hata wote hawa wakiondoka leo,kwa Mfano wakajiunga na Ccm,na wala sio Nccr! Bado kura za Chadema hazitapungua,.Nani kakuloga wewe,usiweze kusoma alama za Nyakati? Bado unaota eti! Kambi ya Lowasa aishikiki,kwa hiyo Lowassa,akishinda kura za maoni Ccm ndio tayari amekua RAIS SIO? Mngejua tunapiga Magoti kila siku kumwomba Mungu ili 2015, Ccm,mtuletee huyo Lowassa wenu! Apambane na Dk Slaa.!Patakua Patamu hapo.itakua sawa na Mechi ya BARCELONA [DK SLAA] VS MUNCHESTER UNITED (LOWASSA). kwa walio Mashabiki wa Mpira,nina uhakika majibu mnayo..!hata Refa (Tume ya Uchaguzi) asipochezesha,fear game.!! Nyota ya LOWASSA
ilizimika tangia siku ile alipojiusisha na "Rich Mond"na Hatimae kujiuzulu kwa Kashfa hiyo..,jitihada zenu zote mnazofanya kumsafisha hazita msaidia tena ..Mkuu BIG SHOW ,uko wapi umuelimishe huyu Gamba??