CCM kama Twanga pepeta

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Jul 11, 2013
2,674
2,801
Asha Baraka, mmiliki wa African stars wana twanga pepeta,..aliwahi kusema, hashangazwi na wanamuziki wa bendi yake kuhamia bendi nyingine.

Kwa sababu alisema yeye ndiye mama yao na hao wanao hama wanakwenda kwa ma uncle ipo siku watarudi tena..

Sasa hii CCM imeanza kuwa kama twanga pepeta...wale walioikimbia wameanza kuludi. Leo mwapachu kaikacha ukawa kaludi ccm...na wengine wengi tuu najua watatudi.

Wacha watu waludi kwa mama
 
Haya semeni humu kuna mwanasiasa mwenye mbinu kama kikwete yako wapi sasa kumbe hamkujua lowassa alitumwa cdm subilieni kidogo nae atarudi chezea tz ya nyerere ww hakuna upinzani nchi hii kalagabao nyumbu wakubwa nyie
 
Kukosekana kwa upinzani Tanzania ni faida na hasara kwa nani?Watanzania wengine tumekosa exposure ndo maana hatuna akili
 
Asha Baraka, mmiliki wa African stars wana twanga pepeta,..aliwahi kusema, hashangazwi na wanamuziki wa bendi yake kuhamia bendi nyingine.

Kwa sababu alisema yeye ndiye mama yao na hao wanao hama wanakwenda kwa ma uncle ipo siku watarudi tena..

Sasa hii CCM imeanza kuwa kama twanga pepeta...wale walioikimbia wameanza kuludi. Leo mwapachu kaikacha ukawa kaludi ccm...na wengine wengi tuu najua watatudi.

Wacha watu waludi kwa mama
Lini Mwapachu alihamia UKAWA?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom