CCM kama mnaipenda sana CHADEMA jiungeni

CCM kama mnaipenda sana CHADEMA jiungeni

CCM tumeichoka
Sema Muda huu Maisha yamekuwa Magumu wasomi tumeamua kutafta kadi za Ccm ili tusifu na kuabudu nothing else
Nami na kakampuni kangu
Ccm nikajiunga
Si kwamba naipenda
Natafuta tu vijitenda
Maisha yaweze kwenda
Hivo ndivo tunavokwenda
 
Sawa kabisa.

Hizo hela zilikuwa keshi ama waliwekewa Benki??
.
DSC09396.jpg
 

Attachments

  • DSC09396.JPG
    DSC09396.JPG
    39 KB · Views: 3
  • DSC09396.JPG
    DSC09396.JPG
    39 KB · Views: 4
Mpaka Leo ofisi haijajengwa uongozi wa saccos umeshatafuna hizo hela hii ni aibu kubwa
Ofisi ni materal tu hata ikiwaje muhimu kujenga spirit ya watu kujitambua na ufahamu kuhu maishaa yao.
Ccm ina materials nnyingi lakini inalaumiwa.
Ya Sabodo na Cdm wachiwe wao
 
Samia mwenyewe anasema kuwa alivutiwa na siasa za vyama vya upinzani, ndiyo akaingia siasa. Ina maana hata yeye aliamua kuingia CCM ni kwa sababu tu CCM ndiyo njia ya kupenya kufika juu kwa sababu ya vyombo vya dola.
Ccm wengi ni opportunists ni watu wanaotafuta personal gains, madaraka, mali, vyeo... Japo wapo wapo wapinzani opportunists walio wengi ni fighters kwa ajili ya humankind
 
Back
Top Bottom