pale tandare kwa mtogore kuna jengo la ccm - ambapo kwa sasa ni kijiwe cha wavuta bange, unga na yale mambo ya fasta fasta una sh ngapi. (pale makutano ya njia toka sayansi na ile ya toka sinza kijiweni)
ni kweli ofisi nyingi za ccm zinaongeza yafuatayo
a) Mbu - wakati tunampango wa kutokomeza malaria
b) Ukimwi - watu wanafanya vitendo viovu ndani sababu majengo haya na milango wala madirisha
c) Madawa ya kulevya - vijiwe vya biashara hii
masa, kama unanibishia wewe nenda pale, nimechukulia ofice moja tu kama mfano halisi.
Je tukisema chama kimezeeka tunakosea?