CCM jadilini budget bungeni tuacheni UKAWA

Hivi ni kwanini wabunge wa CCM wameacha kujadili budget bungeni wanajadili wabunge wa upinzani?

I think these guys have really missed us! but we wont come back unless Dr. Tulia is out
Failure mmoja anadai eti wabunge wa UKAWA wamemtuma awasemee eti kuwa Mbowe anawanyanyasa.! Ajue kuwa aina yake hiyo ndiyo maana akawa mbunge kupitia ccm. Wajinga mfano wake watabaki kuwa huko tu. UKAWA hawabahatishi. Wanajua wanachokifanya. Na watanzania tupo pamoja nao daima.
 
Hivi ni kwanini wabunge wa CCM wameacha kujadili budget bungeni wanajadili wabunge wa upinzani?

I think these guys have really missed us! but we wont come back unless Dr. Tulia is out

Sasa mnafata nini bungeni Kama hamtaki kujadiliwa.
 
Lakini kiukweli ccm wamewamiss upinzani wanajua kama upinzani ungekuwepo basi mafao yao yasungekatwa na kama yangekatwa ni kwenye idara zote kuanzia raisi, mawaziri, makatibu wakuu, wakuu wa mikoa n.k
 
Kuna Mbunge Mmoja wa CCM (Yule wa Sanamu ya Diamond) ni Ki.laza nadhani yy na Kibaji wanashindania no ya nani Ki.laza zaidi!!

Cha kushangaza wote wana speed ya kuchangia Daily!! Hata hawashituki kuwa wanachangia HEWA!
 
Wabunge wa CCM hivi mmesahau kuwa hilo ni bunge la bajeti?
Tunaomba mjadili bajeti na sio kuendelea na hayo maigizo hapo.
Maana kila mbunge akisimama kazi ni kuimba taarabu, mbunge unautumia muda wako kumsifia Tulia na kuiponda ukawa huku bajeti iko mezani.
Tekelezeni wajibu wenu kwa kuijadili bajeti na sio kujadili ukawa na kumsifia huyo Tulia, ukawa wako nje wanafanya yao au bajeti bila ukawa haijadiriki??
 
Back
Top Bottom