Hakuna marefu yasiyo na nchaWale wote mnaosubiri kwa matumaini kuwa kuna siku CCM itaondoka madarakani, mtasubiri sana.
Kwenye jamii tuna watu wa aina 2, the wishful thinkers, the day dreamers and the realists.
The dreamers ndio wanao dream mchana kuwa kuna siku CCM itaondoka madarakani.
Ma realists tunasimama na ukweli, kuwa CCM itatawala milele
PKupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Wanabodi, Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi ulipo, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku...www.jamiiforums.com
Intelligence is something that is there, hivyo kama mtu ni really intelligent, then he is hata kama sometimes anaweza kufanya foolish things, Sir Isaack Newton, katika kufanya experiment ya yao linachukuaMr P sometimes I say you are intelligent but today I have changed my mind. Give ccm 5 years and it will not be there! Waccm wengi mioyoni ni Chadema ama CUF! Want to bet?
Thanks, all the best.Pascal. Mi nauweka huu uzi subscription kwa sababu ya comment yako hii.
Hakuna aliyedhani KANU itavurugika. Ipo siku CCM watagombana na kugawana Chama na ndio utakuwa mwisho wao.
Tuombe uzima.
Sent using my Nokia Torch
Kama ilivyo kwa kila lenye mwanzo, hata fisi akiona binaadamu anavyotembea huku akitupa mikono, fisi anafuatilia nyuma akijua huo mkono umekatika, karibu utamegeka na kuanguka.Hakuna marefu yasiyo na ncha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulishawahi kuwaza kwamba CCM ingemkaribisha tena ndani ya ofisi kuu na mwenyekiti, katibu, makamu mwenyekiti na chakubanga wakiwepo?Uliwahi kuwaza kwamba chadema itambeba mtu ambae system yenyewe imemtema, alafu wao eti wanataka ndio awe rais wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga sio tatizo, upumbavu ni tatizo...usually inbornYani unachukia nchi kutoka kwa ccm unawakabidhi kina Sumaye na Nyalandu, hivi hata kichaa si atakushangaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni jibu sahihi. Kama vyama vingine havina watu wenye ushawishi kwa wananchi CCM itaondokaje?
Hakuna popote nimejiita msomi.Paschal Mayala sio msomi, ni mjinga mmoja anayewadanganya wajinga wenzie, ndo maana hatujishughulishi kumjibu ujinga wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
System gani imemtema, wenye mawazo mbadala system yenu haiwataki, Chukueni akina waitara maskini wa fikra na kuwapa uwaziri. Lowa amerudi ngojeeni aukwae uwaziri mkuu na wewe upo unashangailia waoneaji.Uliwahi kuwaza kwamba chadema itambeba mtu ambae system yenyewe imemtema, alafu wao eti wanataka ndio awe rais wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu upinzani upo ila unahujumiwa sana na pia uje kwamba 80% ya watanzania ni mambumbumbu mno kwa hiyo kuwaamsha ni kazi ngumu mnoUnadhani CCM inapendwa?swala Ni kwanza hamna upinzani ambao unaweza kuwaaminisha wananchi kwamba unaweza kuongoza nchi,usilopoke chadema tu
Sent using Jamii Forums mobile app
tukiacha ujinga baadhi yetu itaondoka
13SEPTEMBER
Fisiemu bhanaKuondoa Serikali madarakani huwa si makubaliano ya watu wote ndani ya nchi bali kikundi cha watu kadhaa - wanufaika wa mfumo siku zote hawatakuunga mkono - Tanzania hatujafikia hatua ya kufanya mapinduzi kwa kuwa viongozi wetu wanasimamia misingi imara ya kutumikia umma
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we jamaaa kweli kiazi,Wale wote mnaosubiri kwa matumaini kuwa kuna siku CCM itaondoka madarakani, mtasubiri sana.
Kwenye jamii tuna watu wa aina 2, the wishful thinkers, the day dreamers and the realists.
The dreamers ndio wanao dream mchana kuwa kuna siku CCM itaondoka madarakani.
Ma realists tunasimama na ukweli, kuwa CCM itatawala milele
PKupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Wanabodi, Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi ulipo, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku...www.jamiiforums.com
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] eti nondoTangu nimejiunga JF, mimi ni mkweli siku zote, kosa langu ni kusema ukweli.
Na hii ndio tofauti kuu kati ya wasomi, the elite ones and the lumpenproletariat. The elites wanatumia theories na formulas, sisi ngumbaro tunaongozwa na simple reality.
Tena ukweli pia uko wa aina mbili, the "ought" and the "is".
Ukweli halisi ni is.
Naomba nikuongezee nondo
PWanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Mugabe Tulisha kuwa nae bongo simwingine naye ni Mbowe Usituvuruge Mnajivuruga wenyewe ili muonekane mnavurugwa. Tunachokihofia ni pale joka mla watu akimaliza kuwala wanaoonekana adui hatujui watakaofuata kuliwa ni kina nani!? Futeni vyama vingine ili chuki zinazotokana na uchafuzi wa...www.jamiiforums.com
Pole sanaCCM last forever
PWenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola! Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla
siyo kila kitu kilichotokea kwingineko lazima kitokee Tz. Hamna lolote hapo.. Kama unadhani ruzuku ndiyo inawaweka madarakani kamuulize daniel arap moi na kanu yakewww.jamiiforums.com
Mbadala ni mim na wewe wala sio majina ya vyama
Fisiemu bhana
13SEPTEMBER
mawazo finyu yaan hili la Algeria na Sudan limewatia ndimu mmesahau wale wamekaa si chini ya miaka 30. Rais MAGUFULI ndio kwanza ana miaka minne kwenye Chama Giant kinachojielewa ambacho wanapokezana madaraka. Mtasubiri sana labda 50 years to come ndio mjaribu bahati yenuKwa hali ninavyo iyona Africa,wananchi wakipata muamko mkubwa wa kifkra, naamini ipo siku ccm itaondoka madarakani tena kwa nguvu za umma.
Kwa sababu serikali imekuwa ikitumia nguvu kubwa katika kuminya haki za binadamu, kisiasa na kijamii.
Watanzania hawako huru kuhoji, kushiriki katika maamuzi makubwa ya uwongozi.
Mfano mchakato wa kupata katiba mpya
Uchaguzi huru
Uminywaji wa vyombo vya habari na vitisho.
Kuna mpango ambao upo njiani rais kuongezewa muda wa madaraka.