CCM itaondoka madarakani

CCM itaondoka madarakani

Pascal huwa unajidhalilisha sana usomi wako unapotabiri habari za umilele kama mtu ambaye yanakwenda shule...

Jamii iliyopo sasa siyo itakayokuwepo hata 15 years later!!

Then kama msomi unapaswa ujikite katika dhana ya 'nothing is permanent' na 'everything change, even the change itself'

Hivi kweli unajadili habari za milele kwa utani au ndo real sense yako?
Wale wote mnaosubiri kwa matumaini kuwa kuna siku CCM itaondoka madarakani, mtasubiri sana.

Kwenye jamii tuna watu wa aina 2, the wishful thinkers, the day dreamers and the realists.
The dreamers ndio wanao dream mchana kuwa kuna siku CCM itaondoka madarakani.

Ma realists tunasimama na ukweli, kuwa CCM itatawala milele
P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paskali bora urudi kijijini ukalime tu mboga mboga mkuu. Pamoja na kujua kuhusu wishful thinkers na day dreamers lakini umeshindwa kujua

"NOTHING LASTS FOREVER"

Hii lesson ccm mtakuja kui learn the hardest way.
 
Tangu nimejiunga JF, mimi ni mkweli siku zote, kosa langu ni kusema ukweli.

Na hii ndio tofauti kuu kati ya wasomi, the elite ones and the lumpenproletariat. The elites wanatumia theories na formulas, sisi ngumbaro tunaongozwa na simple reality.

Tena ukweli pia uko wa aina mbili, the "ought" and the "is".
Ukweli halisi ni is.
Naomba nikuongezee nondo
P
 
Paskali bora urudi kijijini ukalime tu mboga mboga mkuu. Pamoja na kujua kuhusu wishful thinkers na day dreamers lakini umeshindwa kujua

"NOTHING LASTS FOREVER"

Hii lesson ccm mtakuja kui learn the hardest way.
CCM last forever

P
 
CCM last forever

P
The Roman Empire ruled from 27BC to 476AD.

Eventually everything will come to an end. Hata katika uzi wako huo walioku support kwa hizo views wengi ukiwasomesha tena huo uzi watakuwa walishabadilisha mtizamo wao.

Pamoja na kuongelea masuala ya msingi na yakufikirisha lakini bado hata chama kijijenge vipi kiwe na miradi ya kuingiza pesa kiasi gani mwisho wa siku watu ndio lulu ya chama chochote cha siasa.

Huwezi kusema chama kipo strong kama hakina support ya wananchi. Ni suala la muda tu. Ungefanya kautafiki uone public opinion kuhusu ccm ungejitafakari upya. Weka hata poll hapa JF utapata walau picha kwa kuanzia.
 
Kwa hali ninavyo iyona Africa,wananchi wakipata muamko mkubwa wa kifkra, naamini ipo siku ccm itaondoka madarakani tena kwa nguvu za umma.

Kwa sababu serikali imekuwa ikitumia nguvu kubwa katika kuminya haki za binadamu, kisiasa na kijamii.

Watanzania hawako huru kuhoji, kushiriki katika maamuzi makubwa ya uwongozi.
Mfano mchakato wa kupata katiba mpya
Uchaguzi huru
Uminywaji wa vyombo vya habari na vitisho.

Kuna mpango ambao upo njiani rais kuongezewa muda wa madaraka.
Unajua tatizo si CCM kuondoka madarakani! Tatizo si kubadili vyama! Tujitafute.... tutajipata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hali ninavyo iyona Africa,wananchi wakipata muamko mkubwa wa kifkra, naamini ipo siku ccm itaondoka madarakani tena kwa nguvu za umma.

Kwa sababu serikali imekuwa ikitumia nguvu kubwa katika kuminya haki za binadamu, kisiasa na kijamii.

Watanzania hawako huru kuhoji, kushiriki katika maamuzi makubwa ya uwongozi.
Mfano mchakato wa kupata katiba mpya
Uchaguzi huru
Uminywaji wa vyombo vya habari na vitisho.

Kuna mpango ambao upo njiani rais kuongezewa muda wa madaraka.
CCM itaondoka madarakani kwa aibu kubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wote mnaosubiri kwa matumaini kuwa kuna siku CCM itaondoka madarakani, mtasubiri sana.

Kwenye jamii tuna watu wa aina 2, the wishful thinkers, the day dreamers and the realists.
The dreamers ndio wanao dream mchana kuwa kuna siku CCM itaondoka madarakani.

Ma realists tunasimama na ukweli, kuwa CCM itatawala milele
P
Unahitaji okombozi wa kifkra, nazani wewe utadumu milele na ujinga
 
The Roman Empire ruled from 27BC to 476AD.

Eventually everything will come to an end. Hata katika uzi wako huo walioku support kwa hizo views wengi ukiwasomesha tena huo uzi watakuwa walishabadilisha mtizamo wao.

Pamoja na kuongelea masuala ya msingi na yakufikirisha lakini bado hata chama kijijenge vipi kiwe na miradi ya Kuingiz pesa kiasi gani mwisho wa siku watu ndio lulu ya chama chochote cha siasa.

Huwezi kusema chama kipo strong kama hakina support ya wananchi. Ni suala la muda tu. Ungefanya kautafiki uone public opinion kuhusu ccm ungejitafakari upya. Weka hata poll hapa JF utapata walau picha kwa kuanzia.
Mfano mdogo tu, rasimu ya katiba, hapo utakuta maoni ya wananchi ni tofauti na sera za ccm.

Hata Mfumo wa muungano ambao tunaambiwa utadumu milele nao utavunjika, Mfano halisi uchaguzi wa 2015 wa zanzibar, cuf ilipatia ushindi mkubwa, na cuf Ndio marumaini kwa upande wa zanzibar kwa wananchi kwa sababu, sera ambazo wanazo simama ni mtazamo wa wananchi wengi wa zanzibar.

Naamini wakati ufika ccm itaondolewa madarakani na ikiondoka haitarudi tena kwenye madaraka, kwani majeraha walio pata wananchi toka Mfumo wa vyama vingi na upande wa zanzibar toka mapinduzi, kamwe hakuna takae baki ccm kwa fikra zilizo pitwa na wakati.
 
Hivi kweli unajadili habari za milele kwa utani au ndo real sense yako?

Hivi itakuchukua mda mrefu kiasi gani kuweza kutambua tabia za watu?

Kuna watu waliojaliwa kujiweka mpakani, (no mans land) huku akipima upepo kila sehemu. Upepo ukionekana kama unaelekea upande huu, utaona tabia inabadilika haraka haraka; na hali ni hiyo hiyo ukigeukia upande wa pili.

Aina ya watu hawa huwezi kukuta hata siku moja wanakuwa na msimamo madhubuti wanaousimamia na kuutetea. Hoja zao ni lazima ziwe na njia za kujitetea endapo hoja hizo zitagundulika zilikuwa potofu.

Ni watu makini sana kwa 'ku'hedge.' Kila mara hawataki kuonekana wakipoteza; wao kwao ni kkutaka waonekane upande wa ushindi tu, hata kama maandiko yao yanaonyesha siku chache walikuwa upande unaoshindwa.
 
The Roman Empire ruled from 27BC to 476AD.

Eventually everything will come to an end. Hata katika uzi wako huo walioku support kwa hizo views wengi ukiwasomesha tena huo uzi watakuwa walishabadilisha mtizamo wao.

Pamoja na kuongelea masuala ya msingi na yakufikirisha lakini bado hata chama kijijenge vipi kiwe na miradi ya Kuingiz pesa kiasi gani mwisho wa siku watu ndio lulu ya chama chochote cha siasa.

Huwezi kusema chama kipo strong kama hakina support ya wananchi. Ni suala la muda tu. Ungefanya kautafiki uone public opinion kuhusu ccm ungejitafakari upya. Weka hata poll hapa JF utapata walau picha kwa kuanzia.
Mkuu chaliifrancisco, kwanza nayaheshimu mawazo yako, ila ukweli siku zote utabaki kuwa ukweli tuu hata uwe mchungu vipi ni ukweli tuu kama kwa eneo dogo tuu la visiwa vya Zanzibar na Pemba ile 2015 hili limetokea

What are the chances kwa Tanzania yetu?. Endeleeni kujifariji kusubiria siku ya CCM kuondoka.

P
 
Hivi itakuchukua mda mrefu kiasi gani kuweza kutambua tabia za watu?

Kuna watu waliojaliwa kujiweka mpakani, (no mans land) huku akipima upepo kila sehemu. Upepo ukionekana kama unaelekea upande huu, utaona tabia inabadilika haraka haraka; na hali ni hiyo hiyo ukigeukia upande wa pili.

Aina ya watu hawa huwezi kukuta hata siku moja wanakuwa na msimamo madhubuti wanaousimamia na kuutetea. Hoja zao ni lazima ziwe na njia za kujitetea endapo hoja hizo zitagundulika zilikuwa potofu.

Ni watu makini sana kwa 'ku'hedge.' Kila mara hawataki kuonekana wakipoteza; wao kwao ni kkutaka waonekane upande wa ushindi tu, hata kama maandiko yao yanaonyesha siku chache walikuwa upande unaoshindwa.
Mkuu Kalamu, kunapotokea majirani wawili wanagombana na wewe hauna upande, the best way mahali pa wewe kusimama is on the fence, it is safe that way.

Sasa hivi siasa za Tanzania zimebadilika, inatumika the law of the jungle, https://www.jamiiforums.com/threads...-the-worst-dictator-lets-pray-for-him.964813/

Hivyo wajemeni CCM bado ipo sana, badala ya kunyauka, ndio kwanza inazidi kuchanua.

P
 
Naamini wakati ufika ccm itaondolewa madarakani na ikiondoka haitarudi tena kwenye madaraka, kwani majeraha walio pata wananchi toka Mfumo wa vyama vingi na upande wa zanzibar toka mapinduzi, kamwe hakuna takae baki ccm kwa fikra zilizo pitwa na wakati.
Ni imani kama hizi za kuwa CCM ikiondolewa, hairudi tena, kunapelekea watu wanashinda lakini hawapewi kwa sababu CCM itaogopa kuwapa
P
 
Wale wote mnaosubiri kwa matumaini kuwa kuna siku CCM itaondoka madarakani, mtasubiri sana.

Kwenye jamii tuna watu wa aina 2, the wishful thinkers, the day dreamers and the realists.
The dreamers ndio wanao dream mchana kuwa kuna siku CCM itaondoka madarakani.

Ma realists tunasimama na ukweli, kuwa CCM itatawala milele
P
Pascal. Mi nauweka huu uzi subscription kwa sababu ya comment yako hii.

Hakuna aliyedhani KANU itavurugika. Ipo siku CCM watagombana na kugawana Chama na ndio utakuwa mwisho wao.

Tuombe uzima.

Sent using my Nokia Torch
 
Back
Top Bottom