Mr P sometimes I say you are intelligent but today I have changed my mind. Give ccm 5 years and it will not be there! Waccm wengi mioyoni ni Chadema ama CUF! Want to bet?
Intelligence is something that is there, hivyo kama mtu ni really intelligent, then he is hata kama sometimes anaweza kufanya foolish things, Sir Isaack Newton, katika kufanya experiment ya yao linachukua
muda gani kuanza kuchemka kwenye room temperature.
Aliweka saa kwenye Bunsen banner na kushika yai mkononi, time ya chakula ilipofika, wife wake akamuita akasema anakuja, wife anasubiria mezani mtu haji, ndio akaingia kwenye lab yake na kukuta mtu kaweka yai mkononi na saa kwenye sufuria, akamuuliza mbona huji chakula kinapoa, Newton akajibu anapima muda wa yai kuanza kuchemka, mke akacheka sana na kumwambia mbona yai ndio umelishika, unachemsha saa!.
Hata Archimedes alipogundua the law of floatation, alikuwa bafuni anaoga kwenye bath tub, alitoka hivyo hivyo kama alizaliwa, mbio mtaani huku akipiga kelele "Eureka Eureka" maana yake nimegundua nimegundua.
Hivyo nimefute tuu kwa sababu ulidhania mimi ni intelligent, ila ukweli wangu utajapobakia kuwa ndio ukweli wenyewe halisi uliopo, utarudisha heshima.
Sii wengi wanaojua kuwa politics is a science na inafuata scientific methods, hivyo mtu yoyote anayesema ipe CCM miaka 5 tuu uone, huyo ni anaota zaidi hata ya Alinacha!. Hiyo miaka 5 ya CCM kuondoka, halafu ndio aje nani?!.
Mwenzenu nimefanya trend reading, kama 2020 upinzani nchini unakuwa wiped completely,
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...
www.jamiiforums.com
Hesabu zangu za chini ni CCM labda itaanza kutikiswa
Wanabodi, Nimenote baada ya matokeo ya Kinondoni na Siha, kuna watu wanajifanya na kujidai wamekasirika sana!, na wako tayari kwa lolote na kufanya lolote kuiondoa CCM madarakani!. Ushauri wangu kwa watu wa type hii, ni kuwaasa kwa sasa wasijisumbue bure!, CCM is there to stay for a long long...
www.jamiiforums.com
P