CCM itakufa na Chama Kipya kitashika nchi

tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,864
3,851
Viongozi wengi wa CCM wana "U sisi Wasafi" na "U wao wachafu". Wale wa U sisi Wasafi wanaamini ni wazalendo na Wafia nchi na kwamba wale "U wao Wachafu" wanahisi kutengwa na kupuuzwa. Hawa wa "U wao Wachafu" wataondoka na kujiunga na Vyama Pinzani au kuanzisha Vyama vyao. Wakishaondoka wote, watabaki wa "U sisi wasafi".

Lakini kwa sababu dhambi ya Ubaguzi haijawahi kuacha mtu salama, basi hawa wa "U sisi Wasafi" watabaguana katika madaraja 1. "U sisi wasafi walio katibu na Mwenyekiti". 2. "U sisi wasafi tuliokatikati" na 3. "U sisi wasafi tulio mbali na Mwenyekiti". Wale wa daraja la kwanza watapambana dhidi ya wale wa daraja la pili kubakia/kusogea karibu na Mwenyekiti.

Mwisho wa mtifuano huo utapelekea kudhoofika na kuanguka kwa CCM na nchi itaongozwa na Chama kipyaa kabisa. Unabii wa Mwl. Nyerere utakuwa umetimia.
 
Nakubaliana na utabiri wako.kuna kampito flan kwa sasa,hakatadumu haka kampito.na kitaziliwa kikundi kingime kabisa cha wanasiasa ambao ndo watachukua madaraka.dhambi ya ubaguzi ni mbaya sanaa.chama kipya cha siasa kitazaliwa na mimi nahisi zaidi ya nusu ya ccm watahamia huko sababu ya kujiona kama wakiwa,hawasikilizwi
 
nitawaunga mkono 100%
 
Viongozi wengi wa CCM wana "U sisi Wasafi" na "U wao wachafu". Wale wa U sisi Wasafi wanaamini ni wazalendo na Wafia nchi na kwamba wale "U wao Wachafu" wanahisi kutengwa na kupuuzwa. Hawa wa "U wao Wachafu" wataondoka na kujiunga na Vyama Pinzani au kuanzisha Vyama vyao. Wakishaondoka wote, watabaki wa "U sisi wasafi".

Lakini kwa sababu dhambi ya Ubaguzi haijawahi kuacha mtu salama, basi hawa wa "U sisi Wasafi" watabaguana katika madaraja 1. "U sisi wasafi walio katibu na Mwenyekiti". 2. "U sisi wasafi tuliokatikati" na 3. "U sisi wasafi tulio mbali na Mwenyekiti". Wale wa daraja la kwanza watapambana dhidi ya wale wa daraja la pili kubakia/kusogea karibu na Mwenyekiti.

Mwisho wa mtifuano huo utapelekea kudhoofika na kuanguka kwa CCM na nchi itaongozwa na Chama kipyaa kabisa. Unabii wa Mwl. Nyerere utakuwa umetimia.
Mbona mkuu unaiongelea chadomo, hali halisi ndio ilivyo huko na huyu nyala ndu,nae kaja kutafuta urais chadomo, sasa ebu tafakari huu mtifuano sumaye,Eduu, Lissu na sasa nyala nduu!
Kazi kwelikweli.
 
Kuna sehemu nimetaja hicho unachokitaja?
Mbona unawashwa washwa?
 
Ccm haita ondoka madarakani kwa katiba iliyopo hairuhusu mtu nje ya Ccm kuingia ikulu pambana na idadi kubwa ya wabunge watakao weza kubadili katiba ndipo utaweza kuondoa Ccm madarakani vinginevyo ni kilio kila uchaguzi
 
Viongozi wengi wa CCM wana "U sisi Wasafi" na "U wao wachafu". Wale wa U sisi Wasafi wanaamini ni wazalendo na Wafia nchi na kwamba wale "U wao Wachafu" wanahisi kutengwa na kupuuzwa. Hawa wa "U wao Wachafu" wataondoka na kujiunga na Vyama Pinzani au kuanzisha Vyama vyao. Wakishaondoka wote, watabaki wa "U sisi wasafi".

Lakini kwa sababu dhambi ya Ubaguzi haijawahi kuacha mtu salama, basi hawa wa "U sisi Wasafi" watabaguana katika madaraja 1. "U sisi wasafi walio katibu na Mwenyekiti". 2. "U sisi wasafi tuliokatikati" na 3. "U sisi wasafi tulio mbali na Mwenyekiti". Wale wa daraja la kwanza watapambana dhidi ya wale wa daraja la pili kubakia/kusogea karibu na Mwenyekiti.

Mwisho wa mtifuano huo utapelekea kudhoofika na kuanguka kwa CCM na nchi itaongozwa na Chama kipyaa kabisa. Unabii wa Mwl. Nyerere utakuwa umetimia.
Uko kwenye ndoto za mchana
 
Natoa tuu taarifa Rwanda yupo Kagame kajiongezea miaka,Burundi Nkurunziza kang'ang'ania madarakani,Uganda yupo Museveni kaongeza umri sasa anataka kutawala hadi mwisho uhai wake,Kenya yupo Kenyatta aliyelazimisha ushindi wa mezani na tume yake kama Zanzibar.....na yote hayo yanatokea Afrika Mashariki...Endeleeeni kuota,kama Zanzibar na maalim mwenye nguvu zaidi kuwahi kutokea Zanzibar ilishindikana basi endeleeni kuota.
 
Hata ukae miaka 200. Itafika na utakufa tu. Binadamu sio jiwe.
 
Back
Top Bottom