GAMA LUGENDO
Senior Member
- Oct 19, 2010
- 131
- 13
Huyo kijana ni moja ya vijana wa UVCCM ambao uwezo wao uko katika kufanya kampeni za kuchafua wazalendo na wale ambao kwa mtazamo wao uvccm wanawaperceive kama potential enemies.Ridhiwani hana ubavu wa kujenga hoja mbele ya wasomi wa mlimani, angeshikwa na kigugumizi na angeishiwa kuzomewa pale mbele.Wenye ubavu huo ni Samuel Sitta, Pius Msekwa, Dr Mwakiyembe.Ninauhakika makada hao, hususani Msekwa hawawezi kwenda pale kujiharibia CVs zao kwa vile tayari wanajua CCM is in a melting pot.Napendekeza next time wamtume YUSUPH MAKAMBA naamini atatetea vyema, kwa njia ya lugha chafu, kejeli na udhalilishaji of course, mtazamo na msimamo wa chama chake ambacho is heading in its moribund.