mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
Wanajamvi, wakati tukiwa kwenye kikao chetu cha chama cha ccm tuliwabaini kuwa tuna mamluki wanachota habari zetu na kuwapelekea viongozi wao wa CHADEMA,tukiwa maeneo ya edaru katika mkutano wa wananchi pembeni kwa mbali kidogo kuna kijana alikuwa na simu ya I-PHONE akitupiga picha na tulipowatuma vijana wetu wa green guard kumfuatilia tukagundua kwamba ni kada wa chadema na pia ni mwalimu wa secondari na ametumwa na kiongozi wa cdm,adhabu yake tulimweleza afute picha zote kwenye simu yake na kuondoka eneo hilo mara moja. Natoa rai kwa sio ukomavu wa demokrasi kutuma mamluki kwenye chama chotechote ni uoga wa kusindwa kisera.hii pia ni salamu kwa crashwise jana alikiri kwamba alituma mamluki kwenye kikao cha vijana wa meru kuchota taarifa mosi sijajua faida za kutuma mamluki kwenye chama fulani.ACHENI TABIA HII MBAYA