CCM ingemtuma Rizwan kuiwakilisha kwenye mdahalo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM ingemtuma Rizwan kuiwakilisha kwenye mdahalo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OgwaluMapesa, Apr 3, 2011.

 1. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Wanajamvi baada ya Prince Bagenda kuonekana mamluki ambaye hakubeba ujumbe wa CCM jana kwa nini rz1 asingetumwa kwa kuwa ana uelewa wa chama na serikali na bba yake amekuwa akimtumia katika majukumu mengi? Naamini angekuwa yeye pale vijana wa cdm wasingemzomea kwani angetumia elimu yake ya sheria na uwakili kuchana hoja za cdm na ccm tungetoka kwa furaha!
   
 2. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Riz1 hajawakuta watu waliobobea kama kina jaji Warioba, Bomani hata sitta na mwakyembe wangefaa saana ila hata wazo la kumtuma Riz1 zuri pia either angejikanyagakanyagaila or angelipua watu si mtaalamu wa kupump watu kukashifu refer uvccm pwani cjui nani kawaloga ccm badala ya kutuma watu wanaofit wanaokota okota tu hv na udp nao hawana mtu mwingine kila siku kila kitu cheyo tu au ndo ngo yake?
   
 3. g

  gwacha Member

  #3
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu wangu,hata mswada wa katiba ambayo ndo uti wamgongo wa nchi yetu mnadiriki kujadiri kwa mashindano ya kiitikadi za vyama,katiba sio ya cdm wala ccm,wanasiasa wenye kujari vyama vyao na kukishinda chama kingine kwa jinsi awezavyo pasipo kujari gharama zake kwa watz wanapotosha maana nzima ya demokrasia
   
 4. mseseve

  mseseve JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 518
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  kwa hakika sijaona cha maana alichofanya ridhiwan ambacho kingewashawishi wazee wa ccm kukaa na kuamua sasa tumtume huyu kijana akatuwakilishe na isitoshe ccm hawawaamini sana vijana na ndio maana unaona wazee wengi ccm na maamuzi mbofombofu. mimi naamini huu ni wakati wa vijana na hakika kama ccm wangemtuma huyu kijana nadhani vijana wenzake wasomi wa udsm wasingemzomea.ooooh!!! im so sorry KWA MAMLAKA NILIOPEWA NA MODE NAOMBA KUJITAMBULISHA as NEW KAMA KWENU WANA JF
   
 5. kinja

  kinja Senior Member

  #5
  Apr 3, 2011
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 199
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Jamani msisahau kama rz ni kilaza kama ............
   
 6. mseseve

  mseseve JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 518
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Nakubaliana nawe kwa sababu hata nasikia shulen kwenyewe alikuwa kilaza kama yule mwenzake aliyenyukwa mboko enz hizo na 1st fomer meku wa ka nchi ketu ka kitu kidogo
   
 7. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #7
  Apr 4, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,606
  Likes Received: 3,906
  Trophy Points: 280
  katiba na usharobaro ni vitu viwili kabisa!

  hana ubavu wa kujadili katiba na hata haijui yuko busy kujenga mahoteli, kuongeza makampuni ya kuchimba gesi, yuko busy kununua ardhi.

  Hivi sasa anajenga two star hotel bagamoyo!!
   
 8. mbweleko

  mbweleko Senior Member

  #8
  Apr 4, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 157
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  bwahahahahahahhhhhaaaaaaaaaa:becky::becky::becky: ...namalizia sehemu iliyowazi...kama JK!
   
 9. M

  Marytina JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  rz1 anatofauti gani na sofia simba kiuelewa?
   
 10. S

  SUWI JF-Expert Member

  #10
  Apr 4, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kuna watu wanaokubalika CCM kama kina Sitta, Mwakyembe, Pombe nk.. mimi nashangaa kwa nini CCM wasiwatume kwenye uwalikishi kuepuka kuzomewa... badala yake wanawatuma sijui naninaninani... shauri yao bana kwanza nshawachoka nachotaka wang'oke tu tujaribu kwingine labda tutatoka.. mchama umezeeka jamani. hauna tena dira. awe kijana we mzee wote mazeeeee!!
   
 11. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #11
  Apr 4, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  ahahhahaha like father like son
   
 12. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #12
  Apr 4, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Hao woote uliyowataja ni watu ambao wanaakili saana ndani ya ccm, wangearibu mipango KANDAMIZI ya JK.
   
 13. W

  WildCard JF-Expert Member

  #13
  Apr 4, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Mdahalo uliongozwa na Dr Kitila Mkumbo ambaye msimamo wake kisiasa unafahamika. UDASA walipaswa kulifahamu hilo zaidi. Impartiality iliumizwa pia kwa mdahalo kufanyika UDSM na wahudhuriaji wengi wakawa wanafunzi ambao hata maisha hawajaanza.
   
 14. o

  oyoyoo Member

  #14
  Apr 4, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Weberoga mwaga vituz! Kumbe huyu dogo ukiacha ukilaza sasa amegeuka bwanyenye? Aisee tunahitaji katiba mpya tufunge hawa wezi
   
 15. M

  Mbuyi Member

  #15
  Apr 4, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 13
  Kule kwao pia kuna watu makini sana, ila taabu ni Usultani, hivyo watu(thithiemu) walishajua wamechemka, dhamila zikawasuta hivyo ilikuwa kazi kumpata mtu ambaye alijua hatimayake ni kuzomewa na kushushwa credibility. ndiyo wakamchukua Chokesti Prince ambaye walifilikri angewasaidia lakini naye dhamili ilimshinda na ndo maana alikuwa hajui hata anachoongea. Namjua yule Mzee, kwakweli siku ile hakulala maana ailisutwa hata mwenyewe moyoni mwake, nao wenyewe walikuja gundua baadaye kuwa kumbe mawazo yake bado yapo CDM.:bored:
   
 16. o

  oyoyoo Member

  #16
  Apr 4, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha hizo wildcard! Cdm ilifunika thts full stop!
   
 17. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #17
  Apr 4, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  kama bb yke... au mkmb?
   
 18. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #18
  Apr 4, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Prince Bagenda tangu NCCR-Mageuzi hadi CCM Ruga Ruga feeble political War mercinary of our times. Narudia kumlilia hapa huyu mwandishi kichwa aliyeamua kwa makusudi kabisa kuhesabika kuwa sura wakilishi wa mafisadi nchini.

  Nilipomuonya hapa jamvini kwa wiki iliopita juu ya msimamo tetereshi juu ya maslahii ya Watanzania wa hali ya chini akina sie huku nadhani aliamua kumpuuza mwenzenu 'Uwezo Tunao' na hatimaye kuaibika kwa kuzomewa ile mbaya yake na watoto wa masikini kama mie pala ukimbi wa Nkuruma UDSM.

  Hata hivyo bado anayo last chance kurudi kama zamani kwenye umashuhuri wake wa kututetea haki zetu, kabla hajawachagu kutetea kwa makusudi kabisa kundi la akina Rostam Aziz, au ajiandae kukataliwa na kuzomewa sawa na bundi kila mahali kila anapoonekana.

   
 19. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #19
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  wote sawa kiakili dingi mtoto,na katibu mkuu wa chama chao
   
 20. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #20
  Apr 4, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,333
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  hojaless
   
Loading...