CCM inazuia polical Dynasty Tanzania!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
21,237
2,000
Huwo ndiyo ukweli, bila uwepo wa CCM sasa hivi tungekuwa na sisi na Nchi inayoongozwa na familia tajiri na zenye nguvu, angalia tu Chadema inaongozwa na familia ya Mbowe na Lowasa sasa hawa wangeshinda Uchaguzi there is no way wangekuja kuiachia hii nchi tena, tungekuwa na sisi na Siasa kama za Kenya na nchi nyingine za Kiafrika ambazo zinaongozwa na powerful families!

Lkn CCM hairuhusu hilo kutokea, nani alijua miaka 5 iliyopita kwamba Magufuli angekuwa powerful man in Tanzania? Hivyo CCM ina moral authority wa kuongoza Tanzania kwa sababu CCM ni zaidi ya Chama, CCM inailinda nchi yetu dhidi ya Mafisi, ...
 
Allen Kilewella

Verified Member
Sep 30, 2011
13,457
2,000
dynasty! Hivi viingereza vya kulala na kusoma kwenye kamusi vina shida sana. nyie semeni kwamba kila mkitafuta mtu awe "Lipumba" wa CHADEMA huwa mnashindwa mnaishia kusema kwamba CHADEMA ni chama cha ukoo. Hivi kwa mfano ni sahihi mtu kusema kwamba serikali ya sasa inaongozwa na watu toka Kanda ya ziwa na wakatoliki?
 
Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
186,885

Tuna Makamba junior na Makamba senior, tuna Kikwete junior na Kikwete senior, tuna Warioba senior na Warioba junior.....tuna Mwinyi senior na Mwinyi junior....tuna Karume dynasty

Hao wote na wengineo wengi ni CCM dynasties
 
lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,666

Ccm kuna mabashite wengi sana
 
Allen Kilewella

Verified Member
Sep 30, 2011
13,457
2,000
Toa mbadala.
Kama kasema hoja ni mufulisi kinyume chake ndiyo itakuwa hoja mbadala. uongozi ndani ya CHADEMA si wa kurithiana.

Enzi za Mwalimu Rais alitoka Mara, Mkuu wa Majeshi alitoka Mara, mwanasheria Mkuu alitoka Mara, Katibu Mkuu Kingozi alitoka Mara na nafasi nyingine kadhaa. Lakini hakuna mtu aliyesema kwamba serikali inaoongozwa kikabila.
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
21,237
2,000
dynasty! Hivi viingereza vya kulala na kusoma kwenye kamusi vina shida sana. nyie semeni kwamba kila mkitafuta mtu awe "Lipumba" wa CHADEMA huwa mnashindwa mnaishia kusema kwamba CHADEMA ni chama cha ukoo. Hivi kwa mfano ni sahihi mtu kusema kwamba serikali ya sasa inaongozwa na watu toka Kanda ya ziwa na wakatoliki?

Unaweza kusema hivyo lkn tofauti ni kwamba 2025 ndiyo mwisho wa Magufuli na timu yake kama vile walivyosema kuhusu Kikwete na Bagamoyo/Pwani sasa hivi Kikwete hayupo na mambo ya Bagomoyo pia hayapo, lkn chadema hilo haliwezekani, huwezi kumtenganisha Mbowe na chadema na sasa Lowasa kaongezeka na kuonyesha kwamba chadema ni Mali yake hata mavazi ya chadema hayavai lkn alipokua CCM alivaa mavazi ya CCM, unajua ni kwa nini?
 
Allen Kilewella

Verified Member
Sep 30, 2011
13,457
2,000
sasa Lowasa kaongezeka na kuonyesha kwamba chadema ni Mali yake hata mavazi ya chadema hayavai lkn alipokua CCM alivaa mavazi ya CCM, unajua ni kwa nini?
lowassa.jpg

Mavazi ni sehemu ya itikadi ya CHADEMA? Lakini uliona kavaa nini kwenye msiba wa Ndesamburo? Sasa fikra kama zako ndizo zinaongoza muelekeo wa chama chenu, ni hatari sana na Mungu awalaani wale wote ambao huwa wanasaidia chama chenu kuwepo madarakani!
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
21,237
2,000
Tuna Makamba junior na Makamba senior, tuna Kikwete junior na Kikwete senior, tuna Warioba senior na Warioba junior.....tuna Mwinyi senior na Mwinyi junior....tuna Karume dynasty
Hao wote na wengineo wengi ni CCM dynasties

Lkn mwenye power CCM sasa hivi ni Raisi Magufuli na yeye 2025 ataenda pia, na hiyo ndiyo tofauti, CCM ingekuwa inaongozwa na powerful families kama chadema Magufuli leo hii asingekuwa Raisi wa JMTZ!
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
36,295
2,000
Huwo ndiyo ukweli, bila uwepo wa CCM sasa hivi tungekuwa na sisi na Nchi inayoongozwa na familia tajiri na zenye nguvu, angalia tu Chadema inaongozwa na familia ya Mbowe na Lowasa sasa hawa wangeshinda Uchaguzi there is no way wangekuja kuiachia hii nchi tena, tungekuwa na sisi na Siasa kama za Kenya na nchi nyingine za Kiafrika ambazo zinaongozwa na powerful families!

Lkn CCM hairuhusu hilo kutokea, nani alijua miaka 5 iliyopita kwamba Magufuli angekuwa powerful man in Tanzania? Hivyo CCM ina moral authority wa kuongoza Tanzania kwa sababu CCM ni zaidi ya Chama, CCM inailinda nchi yetu dhidi ya Mafisi, ...
Naunga mkono hoja, ndio maana tumeshauri CCM itawale milele!, na kwenye uchaguzi wa rais, CCM ndio pekee waruhusiwe kugombea kutokana na long expirience ya uzoefu wa muda mrefu kwenye urais.
Kumbe nafasi za ma DC na RC ni Kuhakikisha CCM Inashinda?!, Then CCM kutawala milele! ...
Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola!, Sahauni! CCM Inajiandaa ...
Je, CCM Itatawala Milele Au? | Page 2 | JamiiForums | The Home of ...
Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka ...
'CCM pekee iwe inasimamisha mgombea urais ...

Paskali
 
gogo la shamba

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
6,675
2,000
Huwo ndiyo ukweli, bila uwepo wa CCM sasa hivi tungekuwa na sisi na Nchi inayoongozwa na familia tajiri na zenye nguvu, angalia tu Chadema inaongozwa na familia ya Mbowe na Lowasa sasa hawa wangeshinda Uchaguzi there is no way wangekuja kuiachia hii nchi tena, tungekuwa na sisi na Siasa kama za Kenya na nchi nyingine za Kiafrika ambazo zinaongozwa na powerful families!

Lkn CCM hairuhusu hilo kutokea, nani alijua miaka 5 iliyopita kwamba Magufuli angekuwa powerful man in Tanzania? Hivyo CCM ina moral authority wa kuongoza Tanzania kwa sababu CCM ni zaidi ya Chama, CCM inailinda nchi yetu dhidi ya Mafisi, ...
kwa hiyo kwa mawazo yako Makufuli ambae amekuwa waziri kwa zaidi ya miaka kumi nae ni mlala hoi? maajabu
 
The CIA

JF-Expert Member
May 5, 2017
479
500
Kwa hilo tu, CCM wamefaulu. Ila kwa hasara ya taifa CCM wametutesa sana watanzania kwa mikataba yao ya kifisadi.
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
30,814
2,000
Tuna Makamba junior na Makamba senior, tuna Kikwete junior na Kikwete senior, tuna Warioba senior na Warioba junior.....tuna Mwinyi senior na Mwinyi junior....tuna Karume dynasty

Hao wote na wengineo wengi ni CCM dynasties
Hauangalii hao ni asilimia ngapi ya wanachama milioni 8 ambao pontentially wanaweza kuupata urais
 
Allen Kilewella

Verified Member
Sep 30, 2011
13,457
2,000
Hauangalii hao ni asilimia ngapi ya wanachama milioni 8 ambao pontentially wanaweza kuupata urais
"Potentiality" na "reality" ni vitu viwili tofauti. Wewe hata kama sikujui ni nani katika uhalisia wako, unaweza kuwa Rais kupitia CCM? Namkumbuka Mzee mmoja alikuwa anaitwa Munanka Sabi Munanka aliyejitahidi kugombea Urais kupitia CCM bila ya kuruhusiwa kugombea.

Kama chama Mwenyekiti wake wa taifa anapatikana bila ya kugombea na hupigiwa kura huku vitisho vinatolewa dhidi wapiga kura inakuwaje eti kila mwanachama anaweza kuwa Rais kupitia chama hicho!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom