CCM inazuia polical Dynasty Tanzania!

naamn weng wangependa kuiona CHADEMA iwe kma Cuf ya lipumba ndo mana wanaumia sana kuona bado mbowe amesimamia misng yke na kukiendeleza chama na kubaki imara, kma vyama vyote vya upnzan wangekuwa na viongz kma MBOWE bas tungekuwa mbali,
 
Huwo ndiyo ukweli, bila uwepo wa CCM sasa hivi tungekuwa na sisi na Nchi inayoongozwa na familia tajiri na zenye nguvu, angalia tu Chadema inaongozwa na familia ya Mbowe na Lowasa sasa hawa wangeshinda Uchaguzi there is no way wangekuja kuiachia hii nchi tena, tungekuwa na sisi na Siasa kama za Kenya na nchi nyingine za Kiafrika ambazo zinaongozwa na powerful families!

Lkn CCM hairuhusu hilo kutokea, nani alijua miaka 5 iliyopita kwamba Magufuli angekuwa powerful man in Tanzania? Hivyo CCM ina moral authority wa kuongoza Tanzania kwa sababu CCM ni zaidi ya Chama, CCM inailinda nchi yetu dhidi ya Mafisi, ...
Not true
 
Kama kasema hoja ni mufulisi kinyume chake ndiyo itakuwa hoja mbadala. uongozi ndani ya CHADEMA si wa kurithiana.

Enzi za Mwalimu Rais alitoka Mara, Mkuu wa Majeshi alitoka Mara, mwanasheria Mkuu alitoka Mara, Katibu Mkuu Kingozi alitoka Mara na nafasi nyingine kadhaa. Lakini hakuna mtu aliyesema kwamba serikali inaoongozwa kikabila.

Hebu naomba muongezee taarifa huyo mdau maana naona maktaba yako imekaa vizuri,hongera
 
Tuna Makamba junior na Makamba senior, tuna Kikwete junior na Kikwete senior, tuna Warioba senior na Warioba junior.....tuna Mwinyi senior na Mwinyi junior....tuna Karume dynasty

Hao wote na wengineo wengi ni CCM dynasties

Umemsahau na First lady wa 2010-2015 yupo ndani.

Umesahau Mtoto wa Celine Kombani ,na Mtoto wa waziri wa Fedha,Mbunge leo.

Baba na Mtoto wote wabunge wa vitu Maalim halafu ati Upinzani hakika kuwa CCM ni sawa na kuwa nzi
 
Muulize lowassa na Sumaye

Nawashangaa sana UVCCM pamoja na Serikali ya CCM, kama Sumaye na Lowassa walihujumu uchumi sioni kwanini hadi leo wako uraiani wanakula kuku.

Kesho Kalemani,Mruma na Chenge wakihama CCM sitoshangaa kama watatuhumiwa na CCM kuwa ni Mafisadi Leo wamepewa ulaji.

Juzi Familia ya JK ilikumbwa na skendo ya ESCROw leo Mke wa JK ameteuliwa kuwa Mbunge sitoshangaa kesho akiwa waziri wa Elimu au Nishati na Madini!

Aliteuliwa kuwa Naibu Gavana Bwana Yamungu walikuwepo kwenye ile bodi ya kuamua kuhusu mikataba mibovu ya madini Leo tunampigia makofi ati Jembe la CCM, Nina uhakika siku akihama CCM basi atapewa jina la ubatizo Fisadi.

Ningewaomba Watanzania mwenzangu tuwe na hulka ya kuhoji "Kwanini"

Chuki kati yetu ati sababu ya itikadi zetu hatuongezei raslimali.Leo kuna baadhi wanafurahia Halmashauri kunyang'anywa vyanzo vya mapato bila kujua waathirika wa hili siyo Wapinzani ni sisi RAIA,chonde chonde tu jitahidi kuacha kujadili watu let's jadili issues.
 
Huwo ndiyo ukweli, bila uwepo wa CCM sasa hivi tungekuwa na sisi na Nchi inayoongozwa na familia tajiri na zenye nguvu, angalia tu Chadema inaongozwa na familia ya Mbowe na Lowasa sasa hawa wangeshinda Uchaguzi there is no way wangekuja kuiachia hii nchi tena, tungekuwa na sisi na Siasa kama za Kenya na nchi nyingine za Kiafrika ambazo zinaongozwa na powerful families!

Lkn CCM hairuhusu hilo kutokea, nani alijua miaka 5 iliyopita kwamba Magufuli angekuwa powerful man in Tanzania? Hivyo CCM ina moral authority wa kuongoza Tanzania kwa sababu CCM ni zaidi ya Chama, CCM inailinda nchi yetu dhidi ya Mafisi, ...
kwenye chadema ni dynasty ya mtei. alianza yeye akaja shemeji yake bob makani. kipindi cha bob makani kilikua cha taabu maana wenye hisa kubwa hawakumkubali. akaja mkwewe mtei dj freeman akauza chama kwa tajiri el ila el anakubalika kwenye mtiririko na wenye chama. wasiotakiwa na kukurupuka walikiona. ndio kina chacha wangwe kina zito et al.
 
Unaweza kusema hivyo lkn tofauti ni kwamba 2025 ndiyo mwisho wa Magufuli na timu yake kama vile walivyosema kuhusu Kikwete na Bagamoyo/Pwani sasa hivi Kikwete hayupo na mambo ya Bagomoyo pia hayapo, lkn chadema hilo haliwezekani, huwezi kumtenganisha Mbowe na chadema na sasa Lowasa kaongezeka na kuonyesha kwamba chadema ni Mali yake hata mavazi ya chadema hayavai lkn alipokua CCM alivaa mavazi ya CCM, unajua ni kwa nini?

Mkuu unaweza sana kumtofautisha mbowe na chadema, if and only if Mtei ana mtoto wa kike na wewe ukaoe ile familia ya mtei ndio unaweza kumuondoa Mbowe

ukiona akina Lissu wanapiga kelele demokrasia unaishia kucheka tu!!
 
Huwo ndiyo ukweli, bila uwepo wa CCM sasa hivi tungekuwa na sisi na Nchi inayoongozwa na familia tajiri na zenye nguvu, angalia tu Chadema inaongozwa na familia ya Mbowe na Lowasa sasa hawa wangeshinda Uchaguzi there is no way wangekuja kuiachia hii nchi tena, tungekuwa na sisi na Siasa kama za Kenya na nchi nyingine za Kiafrika ambazo zinaongozwa na powerful families!

Lkn CCM hairuhusu hilo kutokea, nani alijua miaka 5 iliyopita kwamba Magufuli angekuwa powerful man in Tanzania? Hivyo CCM ina moral authority wa kuongoza Tanzania kwa sababu CCM ni zaidi ya Chama, CCM inailinda nchi yetu dhidi ya Mafisi, ...
Kwa hakika mafisi hayo yameingia mikataba mibovu ya madini gesi na kuuza nchi na mafisi mengine yamejimilikisha migodi ya KCM kyela kwa milioni 300, yakanunua vivuko vibovu na kujiuzia nyumba za serikali kama pipi jojo dukani,meremeta bado yanalindwa, tukiwa na ccm ni salama sana. Mpumbavu wewe.
 
Sawa tumekusikia ngoja niende dukani Bei ya unga umeshashuka; siku hizi CUF hakiongelewi tena baada ya kazi kwisha...Mbowe Mungu akupe maisha marefu.
 
Back
Top Bottom