CCM inawaogopa Mh Mbowe na Dr Slaa

CCM inawaogopa Mh Mbowe na Dr Slaa

Not_Yet_Uhuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2010
Posts
1,304
Reaction score
444
Wadau,

Historia inatuonyesha ktk ukombozi wa kisiasa, kuna watu ambao wanatakiwa wawepo mbele ya kundi linalotakiwa kujikomboa hadi wapate kuvushwa wote ktk mto wa dhuluma na mateso ya kikoloni na hususan mkoloni hatari kama alivyo CCM. CCM ni mkoloni mweusi hatari sana anayelenga kuimaliza utashi wa WANANCHI ili wasijikomboe Kamwe. Nabii Musa aliwaongoza Wana wa Israel dhidi ya mkoloni Pharaoh. Baba wa Taifa Nyerere na timu yake ya wachache, waliwaongoza Watanganyika kujikomboa dhidi ya Mkoloni Mwingereza, na Mh Mbowe na Dr Slaa wanawaongoza tena Watanganyika na wenzao wazanzibar kujitoa ktk mikono ya mkoloni Ccm na UTAWALA wake mbovu. Ndio MAANA Mkoloni huyu CCM anawaogopa sana na anatamani kusikia hawa wawili wamekufa au kulemaa daima kama alivyotamani Mwingereza dhidi ya Nyerere na Pharaoh dhidi ya Mussa na waisrael.

Tunaafiki Mh Mbowe na Dr Slaa waendelee kuwavusha Watanganyika kwenda ukombozi?
 
Hawa makamanda waendelee na ukombozi, sote kwa pamoja tuwaunge mkono. Let us be the part of change.
 
Wadau,

Historia inatuonyesha ktk ukombozi wa kisiasa, kuna watu ambao wanatakiwa wawepo mbele ya kundi linalotakiwa kujikomboa hadi wapate kuvushwa wote ktk mto wa dhuluma na mateso ya kikoloni na hususan mkoloni hatari kama alivyo CCM. CCM ni mkoloni mweusi hatari sana anayelenga kuimaliza utashi wa WANANCHI ili wasijikomboe Kamwe. Nabii Musa aliwaongoza Wana wa Israel dhidi ya mkoloni Pharaoh. Baba wa Taifa Nyerere na timu yake ya wachache, waliwaongoza Watanganyika kujikomboa dhidi ya Mkoloni Mwingereza, na Mh Mbowe na Dr Slaa wanawaongoza tena Watanganyika na wenzao wazanzibar kujitoa ktk mikono ya mkoloni Ccm na UTAWALA wake mbovu. Ndio MAANA Mkoloni huyu CCM anawaogopa sana na anatamani kusikia hawa wawili wamekufa au kulemaa daima kama alivyotamani Mwingereza dhidi ya Nyerere na Pharaoh dhidi ya Mussa na waisrael.

Tunaafiki Mh Mbowe na Dr Slaa waendelee kuwavusha Watanganyika kwenda ukombozi?

Mkuu hii mbona haina UBISHI! ANAYEBISHA atkuwa labda amesahau alipokaa!
 
Ni sawa na panya wakisikia sauti ya paka wanavyowaovopa Makamanda.
 
Wadau,

Historia inatuonyesha ktk ukombozi wa kisiasa, kuna watu ambao wanatakiwa wawepo mbele ya kundi linalotakiwa kujikomboa hadi wapate kuvushwa wote ktk mto wa dhuluma na mateso ya kikoloni na hususan mkoloni hatari kama alivyo CCM. CCM ni mkoloni mweusi hatari sana anayelenga kuimaliza utashi wa WANANCHI ili wasijikomboe Kamwe. Nabii Musa aliwaongoza Wana wa Israel dhidi ya mkoloni Pharaoh. Baba wa Taifa Nyerere na timu yake ya wachache, waliwaongoza Watanganyika kujikomboa dhidi ya Mkoloni Mwingereza, na Mh Mbowe na Dr Slaa wanawaongoza tena Watanganyika na wenzao wazanzibar kujitoa ktk mikono ya mkoloni Ccm na UTAWALA wake mbovu. Ndio MAANA Mkoloni huyu CCM anawaogopa sana na anatamani kusikia hawa wawili wamekufa au kulemaa daima kama alivyotamani Mwingereza dhidi ya Nyerere na Pharaoh dhidi ya Mussa na waisrael.

Tunaafiki Mh Mbowe na Dr Slaa waendelee kuwavusha Watanganyika kwenda ukombozi?

DJ MBOOwe anawaongoza wana chadema kusakata rumba
 
hawa watu wakiunguruma tu hata kama wako mbali lumumba inapata nyufa ! kwa jinsi walivyoipanga KURUGENZI YA ULINZI WA CHAMA kidigitali , MAGAMBA YANAPUKUTIKA YENYEWE !
 
vijitu vilivyojiapia kuleta vurugu na kuhatarisha usalama wa nchi kwa nini wasiogopwe.
ni kuwaogopa kama ukoma
 
mimi kipofu...anaeniongoza nae pia kipofu..sasa kama sio kutupana mitaroni ni nini ?...mimi simtegemei mtu wa aina yoyote aniongoze kwenye safari yangu....kueni makini sana ushabiki wa kisiasa mtakuja kujuta ipo siku.
 
Suala la zito ilikuwa plan mhimu sana kwa ccm, nakubaliana na wewe kwamba, ccm haiamin jinsi jambo hili ambovo limekuwa contained na viongozi hawa. Ni uhakika matamko ya wassira yalimaanisha kusambaratika kwa chadema kutokana mgogoro wa zitto. Ccm wajinga sana, hata wao sasa wanajua kuwa kuisambaratisha chadema wanayo kazi ya ziada na pengine wanafaham kuwa ni ngumu sana

kwanza hawaamini kilichompata Zitto
 
Ukianzisha sred ya kuwaponda hapa jf lumumba lazima wakulipe buku 7,hapo ndo utakapojua kuwa MBOWE na SLAA ni mwiba mchungu kwa magamba na yatafilisika kwa mtindo huu
 
Wadau,

Historia inatuonyesha ktk ukombozi wa kisiasa, kuna watu ambao wanatakiwa wawepo mbele ya kundi linalotakiwa kujikomboa hadi wapate kuvushwa wote ktk mto wa dhuluma na mateso ya kikoloni na hususan mkoloni hatari kama alivyo CCM. CCM ni mkoloni mweusi hatari sana anayelenga kuimaliza utashi wa WANANCHI ili wasijikomboe Kamwe. Nabii Musa aliwaongoza Wana wa Israel dhidi ya mkoloni Pharaoh. Baba wa Taifa Nyerere na timu yake ya wachache, waliwaongoza Watanganyika kujikomboa dhidi ya Mkoloni Mwingereza, na Mh Mbowe na Dr Slaa wanawaongoza tena Watanganyika na wenzao wazanzibar kujitoa ktk mikono ya mkoloni Ccm na UTAWALA wake mbovu. Ndio MAANA Mkoloni huyu CCM anawaogopa sana na anatamani kusikia hawa wawili wamekufa au kulemaa daima kama alivyotamani Mwingereza dhidi ya Nyerere na Pharaoh dhidi ya Mussa na waisrael.

Tunaafiki Mh Mbowe na Dr Slaa waendelee kuwavusha Watanganyika kwenda ukombozi?

Ndiooooo. Ccm kisu cha kuwachinjia kaburini ni mbowe slaa tindu lisu na mnyika n.k . Hawa watu hasa hao watatu hapo juu wametafutwa sana na serekali ya ccm ili wanunuliweikagoma. Mbinu zote chafu zimetumika a wapi ,wamemtumia zito kuwavuruga a wapi. Ccm hoi.
 
mimi kipofu...anaeniongoza nae pia kipofu..sasa kama sio kutupana mitaroni ni nini ?...mimi simtegemei mtu wa aina yoyote aniongoze kwenye safari yangu....kueni makini sana ushabiki wa kisiasa mtakuja kujuta ipo siku.

We jidanganye tu...Ccm wanaokuongoza ndio vipofu halisia wanaojua mziki wanaochezeshwa na Mbowe na Dr Slaa hadi wanapelekana China kujifunza ugaidi dhidi ya CDM na kurudi na maguruneti ya kuja kulipua il I kuwadhiofisha. Hayo mabilioni akina Nape wametumia had I sasa kujihamasisha unadhani wasingeitumia kulewea walivyo walaku? CDM wanaigwaya mbaya!
 
ukiona mtu anatafutiwa sana zengwe ujue anafanya kazi kwa mjibu wa sheria na taratibu viva mbowe na dr slaa kwa kaz bora
 
Back
Top Bottom