Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,025
- 285,558
Suala la zito ilikuwa plan mhimu sana kwa ccm, nakubaliana na wewe kwamba, ccm haiamin jinsi jambo hili ambovo limekuwa contained na viongozi hawa. Ni uhakika matamko ya wassira yalimaanisha kusambaratika kwa chadema kutokana mgogoro wa zitto. Ccm wajinga sana, hata wao sasa wanajua kuwa kuisambaratisha chadema wanayo kazi ya ziada na pengine wanafaham kuwa ni ngumu sana
TANGU ZITTO ATIMULIWE sijamsikia tena wasira akitaja siku ya kufa cdm .