IGP Said Ally Mwema alianza vzuri sana hapo awali,hata ile dhana ya kuteuliwa cause of ushemeji ilianza kufifia. These days amebadilika sana na kuonekana kutumiwa wazi wazi (kumbuka hata tukio la Arusha), hakuna uweledi tena bali kufuata maelekezo ya waliopo CCM. I wish askari wadogo/wa kati pamoja na kwamba wanatawaliwa tu na amri ifike mahala wajitambue hapo ndo mabadiliko yataanzia, I strongly hpe tutaja fikia hapo maana wasomi ndani ya Jeshi wanaongezeka taratibu