CCM inaua Ueredi wa IGP Mwema na kueneza Chuki ndani ya Nchi

Ngandema Bwila

JF-Expert Member
Sep 8, 2010
1,017
256
Kitendo cha polisi kuwa na double standard katika Utendaji wake na kuonekana wazi kuwa kinafanya kazi kama jumui ya chama cha mapindizi kinampunguzia hadhi na kuanza kutilia shaka uwezo na ueredi wa Mkuu wa polisi ndugu Saidi Mwema

Mtakumbuka mwaka Jana wakati wa kampeni, Mzee wa UDA Robert Kusena alimpiga Mtama OCD mpaka chini ka kituoni huko Maswa, Kamanda wa Mkoa wa Shinyanga aliutangazia umma kuwa hilo nijambo binafsi. Kamanda huyo alidai eti ni wajibu wa OCD kumshitaki Kusena. kumbuka OCD amepigwa kituoni siyo kirabuni hilo ni jambo binafsi!!!

Mkuu wa wilaya kakamatwa akiingilia mkutano wa Chadema na kuvulumishwa, polisi wameshika bango wanawakamata wabunge wa Chadema na kuwakimbiza hadi Tabora badala ya kuwafungulia mashitaka Igunga ili washindwe kuwekewa dhamana. CCM ni kawaida yao kuingilia mikutano ya CHaDEMA. Manyara Mama Salma aliingilia mkutano wa Dr. SLaa, Arusha ccm waliingilia mkutano wa Lema Oracity. Iringa mjini CCM iliingilia mkutano wa Mchungaji Msigwa polisi wanawaacha, Chadema wakichukuwa hatua polisi wanawakamata.

Ubaguuzi huu unanifanya nianze kuhoji ueredi wa IGP, pamoja na mikakati yake ya Ulinzi shirikishi na Utii wa sheria bila shuruti inakuwa haina maana. Kwani kwa kujenga matabaka ndani ya nchi ni anahatarisha utaifa wetu na amani ya nchi. Chadema wakijiona wao ni watu wakukamatwa hovyo na CCM wakati wote wako sahii, wanataka kuwasha moto watakaoshindwa kuuzima. Je mwema Unaruhusu haya kwasababu CCM inaongozwa na shemaji?

Kweli OCD alitunguliwa mtama maswa tena akiwa katika uniform na nembo ya taifa!! Polisi wakamsaliti!!
INAUMA INAUMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!

Kweli OCD alitunguliwa mtama maswa tena akiwa katika uniform na nembo ya taifa!! Polisi wakamsaliti!!
INAUMA INAUMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!
si upumbaaaf wake ati kisa ni mgombea wa chama tawala ndo aliempiga hvo hakuna tatizo.................iiipo siku

Kweli OCD alitunguliwa mtama maswa tena akiwa katika uniform na nembo ya taifa!! Polisi wakamsaliti!!

INAUMA INAUMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!

Polisi bado hawajajua majukumu na haki zao za msingi na hii ndio sababu wanajipendekeza kwa serikali na sio kweli kuwa wanatumiwa na ccm

Kweli OCD alitunguliwa mtama maswa tena akiwa katika uniform na nembo ya taifa!! Polisi wakamsaliti!!
INAUMA INAUMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!

Askari akiwa kwenye uniform yake anawakilisha Jamhuri, hivyo lile kosa lilikuwa dhidi ya jamhuri na si kosa binafsi, kweli ni double standard.

Polisi bado hawajajua majukumu na haki zao za msingi na hii ndio sababu wanajipendekeza kwa serikali na sio kweli kuwa wanatumiwa na ccm

Wanajibu wajibu wao vizuri tu ila wanajiingiza kwenye ushabiki wa vyama na kutetea chama cha magamba. Said Mwema amemuoa dada yake ****** sasa unategemea nini hapo? Ni kulindana tu!!!!!! Mwema hana ueledi wowote zaidi ya kubebwa na shemeji yake!

IGP Said Ally Mwema alianza vzuri sana hapo awali,hata ile dhana ya kuteuliwa cause of ushemeji ilianza kufifia. These days amebadilika sana na kuonekana kutumiwa wazi wazi (kumbuka hata tukio la Arusha), hakuna uweledi tena bali kufuata maelekezo ya waliopo CCM. I wish askari wadogo/wa kati pamoja na kwamba wanatawaliwa tu na amri ifike mahala wajitambue hapo ndo mabadiliko yataanzia, I strongly hpe tutaja fikia hapo maana wasomi ndani ya Jeshi wanaongezeka taratibu

Mnastahili IGP Omary Mahita sasa hivi kwa staili yenu na mwenendo..Mwema amekuwa mwema sana

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom