vicdala55
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 1,009
- 1,638
Punguza uongo!Mwenyekiti wa CCM anachaguliwa kwa mujibu wa katiba na taratibu za chama. CCM wamejiwekea utaratibu mzuri wa uongozi na uchaguzi. Ni Chama pekee kikongwe barani Afrika chenye Demokrasia ya ndani na inayoonekana. Ni miongoni mwa vyama Imara duniani katika rika lake.
Hata hivyo mleta mada hujaweka mantiki ya kuuliza maswali yako.