Mr. Bigman
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 2,560
- 1,299
You had to answer the first questions, before posing you questions!Badala ya kutueleza Mbowe anachaguliwaje wewe unang'ang'ana na pili pili usiyoila.

What kind of English is this?You had to answer the first questions, before posing you questions!
Lowassa alipitishwa kwa kura ngapi na Baada ya kushindana na Mgombea Yupi Huko UKIWA?Kwa kuwa katiba za vyama hubadilika mara kwa mara, nataka kujua ni kanuni ipi hutumika kumchagua Mwenyekiti wa CCM taifa. Jee kuna fomu huwa wana CCM wanaotaka nafasi hiyo hujaza ama inakuwaje?
Halafu ni kwa nini mara nyingi anayekuwa Rais wa nchi ndiye anayekuwa Mwenyekiti wa CCM, ina maana bila ya kuwa Rais wa Tanzania huwezi kuwa na uwezo wa kuwa Mwenyekiti wa chama hicho. Na siku CCM ikitoka madarakani haitakuwa na Mwenyekiti wa Taifa?
Kwenye uchaguzi wa Mwisho wa CCM niliouona wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho walipiga kura kimikoa. Jee upigaji kura huu ni wa kikanuni ama ni mbinu za kubanana ndani ya chama? Halafu Inakuwaje kwenye chama hicho mwenyekiti wa chama hicho taifa mara nyingi hupata kura zaidi ya asilimia tisini?
Kwa mfano Kikwete aliwahi kupata kura asilimia 99.92 na kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM taifa. Ina maana wana CCM wanafanana kiakili na kimtazamo kwa asilimia mia moja linapokuja suala la kumchagua Mwenyekiti wa Taifa wa chama chao?
Jee Mwenyekiti wa CCM taifa naye atatakiwa kutokuwa na "kofia" mbili?
Kuuliza si ujinga!!
It is correct grammar minus only one spelling. Naomba edit iwe your badala ya you.What kind of English is this?
wewe na wenzio hamjaelewa swali ama ndiyo Albadir inawachengua?Lowassa alipitishwa kwa kura ngapi na Baada ya kushindana na Mgombea Yupi Huko UKIWA?
Acha ulofa Jibu swali wewe kitimbakwira wa kudeki barabarawewe na wenzio hamjaelewa swali ama ndiyo Albadir inawachengua?
Nawaalika Elitwege imhotep nygax johnthebaptist mwananyaso YEHODAYA Cannibal OX mje mtoe darsa!
Hiyo inatokea Ofisini kwenu tu Lumumba kwamba badala ya kujibu swali unazusha kihoja!Acha ulofa Jibu swali wewe kitimbakwira wa kudeki barabara
Aliyepo sasa alipewaje Uenyekiti Huko CDM?Hiyo inatokea Ofisini kwenu tu Lumumba kwamba badala ya kujibu swali unazusha kihoja!
Lowassa hajawahi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA!
Siyo mjadala wa bandiko hili, Hapa mjadala ni Mwenyekiti wa CCM taifa anachaguliwaje?Aliyepo sasa alipewaje Uenyekiti Huko CDM?
Huwezi kuelewa kwakuwa wewe Chakubanga buku 7 endelea kutokuelewa sisi wenye akili tumeelewa.hata haieleweki
Nadhani ni busara kujibu jambo ulilo lielewa ipasavyo, kukurupuka kujibu jambo ambalo hulifahamu ni kosa ndugu yangu.Bora wa CCM, yule wa CUF kachaguliwaje?
CCM ni very Irrational Party.Watakuambiwa ilitengenezwa ili rais asipinduliwe.As if hawajui kuwa raia kuondelewa na chama pia ni changamoto nzuri.Kwa vile itampa nidhamu na ikibidi chama kisaidie kuonda shida ktk nchi. Wanasubiri watanzania wapige kura ndipo wapate mwenyekiti. Itawachukua miaka ccm kuelewa shid ailiyopo hapa km mwenyekiti hatotolea ufafanuzi hiliKwa kuwa katiba za vyama hubadilika mara kwa mara, nataka kujua ni kanuni ipi hutumika kumchagua Mwenyekiti wa CCM taifa. Jee kuna fomu huwa wana CCM wanaotaka nafasi hiyo hujaza ama inakuwaje?
Halafu ni kwa nini mara nyingi anayekuwa Rais wa nchi ndiye anayekuwa Mwenyekiti wa CCM, ina maana bila ya kuwa Rais wa Tanzania huwezi kuwa na uwezo wa kuwa Mwenyekiti wa chama hicho. Na siku CCM ikitoka madarakani haitakuwa na Mwenyekiti wa Taifa?
Kwenye uchaguzi wa Mwisho wa CCM niliouona wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho walipiga kura kimikoa. Jee upigaji kura huu ni wa kikanuni ama ni mbinu za kubanana ndani ya chama? Halafu Inakuwaje kwenye chama hicho mwenyekiti wa chama hicho taifa mara nyingi hupata kura zaidi ya asilimia tisini?
Kwa mfano Kikwete aliwahi kupata kura asilimia 99.92 na kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM taifa. Ina maana wana CCM wanafanana kiakili na kimtazamo kwa asilimia mia moja linapokuja suala la kumchagua Mwenyekiti wa Taifa wa chama chao?
Jee Mwenyekiti wa CCM taifa naye atatakiwa kutokuwa na "kofia" mbili?
Kuuliza si ujinga!!
Kwa kuwa katiba za vyama hubadilika mara kwa mara, nataka kujua ni kanuni ipi hutumika kumchagua Mwenyekiti wa CCM taifa. Jee kuna fomu huwa wana CCM wanaotaka nafasi hiyo hujaza ama inakuwaje?
Halafu ni kwa nini mara nyingi anayekuwa Rais wa nchi ndiye anayekuwa Mwenyekiti wa CCM, ina maana bila ya kuwa Rais wa Tanzania huwezi kuwa na uwezo wa kuwa Mwenyekiti wa chama hicho. Na siku CCM ikitoka madarakani haitakuwa na Mwenyekiti wa Taifa?
Kwenye uchaguzi wa Mwisho wa CCM niliouona wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho walipiga kura kimikoa. Jee upigaji kura huu ni wa kikanuni ama ni mbinu za kubanana ndani ya chama? Halafu Inakuwaje kwenye chama hicho mwenyekiti wa chama hicho taifa mara nyingi hupata kura zaidi ya asilimia tisini?
Kwa mfano Kikwete aliwahi kupata kura asilimia 99.92 na kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM taifa. Ina maana wana CCM wanafanana kiakili na kimtazamo kwa asilimia mia moja linapokuja suala la kumchagua Mwenyekiti wa Taifa wa chama chao?
Jee Mwenyekiti wa CCM taifa naye atatakiwa kutokuwa na "kofia" mbili?
Kuuliza si ujinga!!
Wamehold kwanza km kujenga office.Kipaumbele ni kuimaliza kabisa ccm.CHADEMA imetumia Kanuni ipi kumbakiza Madarakani Mwenyekiti wake wa Taifa wakati hata Kikatiba muda wake umeisha ila bado anang'ang'ana tu na kuwahadaa Wanachama wake? Hivi Katiba ya CHADEMA ina Kipengele popote kwamba Mwenyekiti ataongoza muda wote hadi pale labda atakapochoka au atakavyoamua vinginevyo?
Muda wa mwenyekiti wa CHADEMA umeishaje halafu kwani alipogombea na kina Mussa Kansa ilikuwa mwaka gani?CHADEMA imetumia Kanuni ipi kumbakiza Madarakani Mwenyekiti wake wa Taifa wakati hata Kikatiba muda wake umeisha ila bado anang'ang'ana tu na kuwahadaa Wanachama wake? Hivi Katiba ya CHADEMA ina Kipengele popote kwamba Mwenyekiti ataongoza muda wote hadi pale labda atakapochoka au atakavyoamua vinginevyo?