CCM inatumia kanuni ipi kumchagua Mwenyekiti wake wa Taifa?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,034
33,514
Kwa kuwa katiba za vyama hubadilika mara kwa mara, nataka kujua ni kanuni ipi hutumika kumchagua Mwenyekiti wa CCM taifa. Jee kuna fomu huwa wana CCM wanaotaka nafasi hiyo hujaza ama inakuwaje?

Halafu ni kwa nini mara nyingi anayekuwa Rais wa nchi ndiye anayekuwa Mwenyekiti wa CCM, ina maana bila ya kuwa Rais wa Tanzania huwezi kuwa na uwezo wa kuwa Mwenyekiti wa chama hicho. Na siku CCM ikitoka madarakani haitakuwa na Mwenyekiti wa Taifa?

Kwenye uchaguzi wa Mwisho wa CCM niliouona wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho walipiga kura kimikoa. Jee upigaji kura huu ni wa kikanuni ama ni mbinu za kubanana ndani ya chama? Halafu Inakuwaje kwenye chama hicho mwenyekiti wa chama hicho taifa mara nyingi hupata kura zaidi ya asilimia tisini?

Kwa mfano Kikwete aliwahi kupata kura asilimia 99.92 na kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM taifa. Ina maana wana CCM wanafanana kiakili na kimtazamo kwa asilimia mia moja linapokuja suala la kumchagua Mwenyekiti wa Taifa wa chama chao?

Jee Mwenyekiti wa CCM taifa naye atatakiwa kutokuwa na "kofia" mbili?

Kuuliza si ujinga!!
 
Hayakuhusu kamuulize mwenyekiti wenu Mbowe kuwa uenyekiti wa maisha aliupata kwa kupitia katiba gani?
 
Hivi unatarajia kina Lizabon,Barbarossa, Troll jf,Elitwege,jingalao,Wakudadavua ndiyo wajibu hayo maswali??Hao ni misukule haijielewi
 
Mwenyekiti wa CCM anachaguliwa kwa mujibu wa katiba na taratibu za chama. CCM wamejiwekea utaratibu mzuri wa uongozi na uchaguzi. Ni Chama pekee kikongwe barani Afrika chenye Demokrasia ya ndani na inayoonekana. Ni miongoni mwa vyama Imara duniani katika rika lake.
Hata hivyo mleta mada hujaweka mantiki ya kuuliza maswali yako.
 
Habari Mkuu, kama hutojali kiongozi wangu, ningeomba utuwekee hapa barazani hizo taratibu na vifungu vya Katiba ya CCM juu ya nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Taifa.
Pia unaposema taratibu nzuri za uongozi na uchaguzi unakuwa unalinganzisha na taratibu zipi ambazo zinafanya taratibu za CCM kuonekana ni nzuri?
 
.
Mkuu Katiba ya Chama cha Mapinduzi, kama ilivyorekebishwa katika Matoleo ya 1977, 1980, 1982, 1984, 1987, 1990, Machi 1992, Septemba 1992, Januari 1994, Juni 1995, 1997 na 2005 inaweka bayana suala la uchaguzi wa Mwenyekiti taifa. Ibara ya 104 (1) inabainisha mkutano mkuu wa ccm taifa, ambao ndio kiini cha suala lililo hapa. Mkutano huu unakuwa na wajumbe wafuatao - ibara ya 105 (1):

Mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa utakuwa na wajumbe wafuatao:-
(a) Mwenyekiti wa CCM.
(b) Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaotokana na CCM.
(c) Makamu wawili wa Mwenyekiti wa CCM.
(d) Rais wa Zanzibar anayetokana na CCM.
(e) Katibu Mkuu wa CCM.
(f) Manaibu Katibu Mkuu wa CCM.
(g) Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Organaizesheni.
(h) Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Itikadi na Uenezi.
(i) Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa.
(j) Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Uchumi na Fedha.
(k) Wajumbe wote wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa.
(l) Wabunge wote wanaotokana na CCM au kama Bunge limevunjwa wale wanachama wote waliokuwa Wabunge mara kabla ya kuvunjwa Bunge.
(m) Wajumbe wote wa Baraza la Wawakilishi wanaotokana na CCM au kama Baraza hilo limevunjwa wale wanachama wote waliokuwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi mara kabla ya kuvunjwa kwa Baraza hilo.
(n) Makatibu wa Siasa na Uenezi wote wa Mikoa.
(o) Makatibu wa Uchumi na Fedha wote wa Mikoa
(p) Wenyeviti wote wa CCM wa Wilaya.
(q) Makatibu wote wa CCM wa Wilaya.
(r) Makatibu wote wa Siasa na Uenezi wa Wilaya.
(s) Makatibu wote wa Uchumi na Fedha wa Wilaya.
(t) Mwenyekiti na Katibu wa Kamati ya Wabunge wote wa CCM.
(u) Mwenyekiti na Katibu wa Kamati ya Wajumbe wote wa Baraza la Wawakilishi wanaotokana na CCM.
(v) Mwenyekiti, Katibu Mkuu na Makamu Mwenyekiti kutoka kila Jumuiya ya Wananchi inayoongozwa au iliyojishirikisha na CCM ambao ni wana-CCM.
(w) Wajumbe watano waliochaguliwa na Mkutano Mkuu wa CCM wa kila Wilaya.
(x) Mwenyekiti, Katibu wa Mkoa na Mjumbe mwingine mmoja aliyechaguliwa kutoka kila Mkoa wa Bara na Zanzibar kwa kila Jumuiya ya wananchi inayoongozwa au iliyojishirikisha na CCM ambao ni wana
CCM
.​

Kwa Mujibu wa Ibara ya 110 (6) (a) Mkutano huu ndio unaoopendekeza jina la mgombea wa mwenyekiti CCM taifa. Ibara ya 119 (1) inatoa mamlaka kwa mkutano huu kumchagua mwenyekiti wa CCM taifa. Ibara inaseama:

119. Mwenyekiti wa CCM ndiye kiongozi mkuu na ndiye msemaji mkuu wa CCM.

(1) Atachaguliwa na Mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa na atakuwa katika nafasi hiyo ya uongozi kwa muda wa miaka mitano, lakini anaweza kuchaguliwa tena baada ya muda huo kumalizika.

Kwa hiyo basi, Mwenyekiti wa CCM taifa anachaguliwa kwa mujibu wa taratibu zinazojulikana na zilizo wazi, na mkutano mkuu ndio unayo mamlaka ya kuteua mgombea wa kiti hicho. Kila mkoa na wajumbe wake huwakilisha majina pendekezwa katika mkutano huo na mchujo hufanyika na hatimae kubaki jina moja linalopigiwa kura na mkutano mkuu.

Taratibu za uchaguzi ndani ya CCM ni nzuri ukilinganisha na vyama vingi vya siasa nchini Tanzania. Chaguzi zinakuwa za wazi, zenye kufuata taratibu zilizowekwa na washiriki wanajumuisha ngazi na jumuia mbalimbali. Hata kwa bara la Afrika na duniani ka ujumla ni vyama vichache vya siasa vyenye huu utaratibu.
 
Hv ipo siku kutakuwa na rais na makamu wa rais asiyetoka CCM nawaza tu ilikuwaje wakaandika hivyo
 
Dragoon asante kwa kutuwekea maelezo toka kwenye Katiba yenu. lakini bado nina kiu ya kuona unajibu swali kama lilivyo.

1. Jee ili mtu awe mgombea anajaza fomu ama inakuwaje mpaka awe mgombea?

2. Jee ni lazima mtu awe rais wa Tanzania ndiyo awe na sifa ya kuwa Mwenyekiti Taifa?

3. Wajumbe wa mkutano Mkutano Mkuu wakati wote huwa akili na mitizamo yao inafanana?

Na mwisho tumemsikia Mara nyingi Katibu Mwenezi wa CCM Taifa Ndugu Humphrey Pole Pole akisema kuwa CCM sasa haitaki tena mtu mmoja kuwa na "kofia" mbili. Jee na Mwenyekiti wa CCM Taifa naye atakuwa na Kofia moja tu?
 
Habari Mkuu, kama hutojali kiongozi wangu, ningeomba utuwekee hapa barazani hizo taratibu na vifungu vya Katiba ya CCM juu ya nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Taifa.
Pia unaposema taratibu nzuri za uongozi na uchaguzi unakuwa unalinganzisha na taratibu zipi ambazo zinafanya taratibu za CCM kuonekana ni nzuri?
Katiba ya ccm ipo wazi kabisa.
Kila mwanachama yupo huru kuchukua fomu ya uenyekiti wa Taifa
Mchujo hufanywa na sekretarieti ya maadili na majina au jina kupitishwa na kamati kuu,kisha hupelekwa kwenye NEC hatimaye mkutano mkuu.
CCM wamejiwekea utaratibu wao kuwa ukiwa Rais,uwe mwenyekiti wa chama ili uweze kukidhibiti chama,kwa hiyo utaona baada ya muda fulani Rais aliemaliza muda wake anang'atuka uenyekiti na kumuachia Rai alieko madarakani nafasi ya uenyekiti.Hebu fikiria kwa hali ya sasa Magufuli anavyoyatimua mafisadi asingekua mwenyekiti wa ccm,wangepata nafasi ya kumtimua kupitia kwenye chama chake na kuleta mgogoro wa Bingu Mutharika.
Ni ccm tu mtu anaweza kutangaza nia ya kuomba uenyekiti akabaki salama
 
Katiba ya ccm ipo wazi kabisa.
Kila mwanachama yupo huru kuchukua fomu ya uenyekiti wa Taifa...

Ni ccm tu mtu anaweza kutangaza nia ya kuomba uenyekiti akabaki salama
Unaweza kututajia mwaka na majina ya watu walioonesha nia ya kutaka kugombea Uenyekiti wa CCM Taifa?
 
Back
Top Bottom