CCM inatumia kanuni ipi kumchagua Mwenyekiti wake wa Taifa?

Mwenyekiti wa CCM anachaguliwa kwa mujibu wa katiba na taratibu za chama. CCM wamejiwekea utaratibu mzuri wa uongozi na uchaguzi. Ni Chama pekee kikongwe barani Afrika chenye Demokrasia ya ndani na inayoonekana. Ni miongoni mwa vyama Imara duniani katika rika lake.
Hata hivyo mleta mada hujaweka mantiki ya kuuliza maswali yako.
Punguza uongo!
 
Kwa kuwa katiba za vyama hubadilika mara kwa mara, nataka kujua ni kanuni ipi hutumika kumchagua Mwenyekiti wa CCM taifa. Jee kuna fomu huwa wana CCM wanaotaka nafasi hiyo hujaza ama inakuwaje?

Halafu ni kwa nini mara nyingi anayekuwa Rais wa nchi ndiye anayekuwa Mwenyekiti wa CCM, ina maana bila ya kuwa Rais wa Tanzania huwezi kuwa na uwezo wa kuwa Mwenyekiti wa chama hicho. Na siku CCM ikitoka madarakani haitakuwa na Mwenyekiti wa Taifa?

Kwenye uchaguzi wa Mwisho wa CCM niliouona wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho walipiga kura kimikoa. Jee upigaji kura huu ni wa kikanuni ama ni mbinu za kubanana ndani ya chama? Halafu Inakuwaje kwenye chama hicho mwenyekiti wa chama hicho taifa mara nyingi hupata kura zaidi ya asilimia tisini?

Kwa mfano Kikwete aliwahi kupata kura asilimia 99.92 na kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM taifa. Ina maana wana CCM wanafanana kiakili na kimtazamo kwa asilimia mia moja linapokuja suala la kumchagua Mwenyekiti wa Taifa wa chama chao?

Jee Mwenyekiti wa CCM taifa naye atatakiwa kutokuwa na "kofia" mbili?

Kuuliza si ujinga!!

Ni kawaida na hii hutokea Dunia nzima kwenye nchi ambazo zinaruhusu kofia 2, yaani kama Mwenyekiti wenu ndiyo Raisi wa nchi basi mara nyingi huwa anapata kura zaidi ya 95% ndani ya Chama chake hata Ulaya kwa Muzungu wako ni hivyo!
 
Sabi Munasa Sabi alionesha nia nadhani mwaka 1995,alifika mbali,ila alikosa nauli ya kumtoa Musoma kuleta fomu zake
Nilikuwa naamini kwamba wewe ni mwana CCM unayeelewa mambo ya CCM kumbe siyo kweli. Munanka sabi Munanka na siyo Sabi Munanka sabi hakuwa anataka kugombea uenyekiti wa CCM bali alikuwa anataka kuchukua fomu ashindane na Mkapa kwenye Urais.

Kwa nini kama vile wana CCM wa humu JF wala hamjui Mwenyekiti wa chama chenu taifa anachaguliwaje?
 
Kwa kuwa katiba za vyama hubadilika mara kwa mara, nataka kujua ni kanuni ipi hutumika kumchagua Mwenyekiti wa CCM taifa. Jee kuna fomu huwa wana CCM wanaotaka nafasi hiyo hujaza ama inakuwaje?

Halafu ni kwa nini mara nyingi anayekuwa Rais wa nchi ndiye anayekuwa Mwenyekiti wa CCM, ina maana bila ya kuwa Rais wa Tanzania huwezi kuwa na uwezo wa kuwa Mwenyekiti wa chama hicho. Na siku CCM ikitoka madarakani haitakuwa na Mwenyekiti wa Taifa?

Kwenye uchaguzi wa Mwisho wa CCM niliouona wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho walipiga kura kimikoa. Jee upigaji kura huu ni wa kikanuni ama ni mbinu za kubanana ndani ya chama? Halafu Inakuwaje kwenye chama hicho mwenyekiti wa chama hicho taifa mara nyingi hupata kura zaidi ya asilimia tisini?

Kwa mfano Kikwete aliwahi kupata kura asilimia 99.92 na kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM taifa. Ina maana wana CCM wanafanana kiakili na kimtazamo kwa asilimia mia moja linapokuja suala la kumchagua Mwenyekiti wa Taifa wa chama chao?

Jee Mwenyekiti wa CCM taifa naye atatakiwa kutokuwa na "kofia" mbili?

Kuuliza si ujinga!!
Inaitwa chaos theory
 
Mbowe anatumia kanuni ipi kuwafungia nje wapinzani wake wa nafasi ya uenyekiti wa chadema Na kuendelea kukalia nafasi hiyo indefinitely?
 
Kwa kuwa katiba za vyama hubadilika mara kwa mara, nataka kujua ni kanuni ipi hutumika kumchagua Mwenyekiti wa CCM taifa. Jee kuna fomu huwa wana CCM wanaotaka nafasi hiyo hujaza ama inakuwaje?

Halafu ni kwa nini mara nyingi anayekuwa Rais wa nchi ndiye anayekuwa Mwenyekiti wa CCM, ina maana bila ya kuwa Rais wa Tanzania huwezi kuwa na uwezo wa kuwa Mwenyekiti wa chama hicho. Na siku CCM ikitoka madarakani haitakuwa na Mwenyekiti wa Taifa?

Kwenye uchaguzi wa Mwisho wa CCM niliouona wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho walipiga kura kimikoa. Jee upigaji kura huu ni wa kikanuni ama ni mbinu za kubanana ndani ya chama? Halafu Inakuwaje kwenye chama hicho mwenyekiti wa chama hicho taifa mara nyingi hupata kura zaidi ya asilimia tisini?

Kwa mfano Kikwete aliwahi kupata kura asilimia 99.92 na kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM taifa. Ina maana wana CCM wanafanana kiakili na kimtazamo kwa asilimia mia moja linapokuja suala la kumchagua Mwenyekiti wa Taifa wa chama chao?

Jee Mwenyekiti wa CCM taifa naye atatakiwa kutokuwa na "kofia" mbili?

Kuuliza si ujinga!!
Weweee utofautiane?!! muulizeni Hussein Bashe and Malima watakuambia moto wa kile kikundi cha wahuni wasiojulikana!
 
Habari Mkuu, kama hutojali kiongozi wangu, ningeomba utuwekee hapa barazani hizo taratibu na vifungu vya Katiba ya CCM juu ya nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Taifa.
Pia unaposema taratibu nzuri za uongozi na uchaguzi unakuwa unalinganzisha na taratibu zipi ambazo zinafanya taratibu za CCM kuonekana ni nzuri?
Bora wa CCM, yule wa CUF kachaguliwaje?
 
[USER]180413
Umejibu vizuri sana MKUU ila unaweza kutueleza sababu za Mwenyekiti wasasa julazimishwa kuivaa ile kofia hata pale alipokataa kuivaa??
 
Kwa kuwa katiba za vyama hubadilika mara kwa mara, nataka kujua ni kanuni ipi hutumika kumchagua Mwenyekiti wa CCM taifa. Jee kuna fomu huwa wana CCM wanaotaka nafasi hiyo hujaza ama inakuwaje?

Halafu ni kwa nini mara nyingi anayekuwa Rais wa nchi ndiye anayekuwa Mwenyekiti wa CCM, ina maana bila ya kuwa Rais wa Tanzania huwezi kuwa na uwezo wa kuwa Mwenyekiti wa chama hicho. Na siku CCM ikitoka madarakani haitakuwa na Mwenyekiti wa Taifa?

Kwenye uchaguzi wa Mwisho wa CCM niliouona wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho walipiga kura kimikoa. Jee upigaji kura huu ni wa kikanuni ama ni mbinu za kubanana ndani ya chama? Halafu Inakuwaje kwenye chama hicho mwenyekiti wa chama hicho taifa mara nyingi hupata kura zaidi ya asilimia tisini?

Kwa mfano Kikwete aliwahi kupata kura asilimia 99.92 na kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM taifa. Ina maana wana CCM wanafanana kiakili na kimtazamo kwa asilimia mia moja linapokuja suala la kumchagua Mwenyekiti wa Taifa wa chama chao?

Jee Mwenyekiti wa CCM taifa naye atatakiwa kutokuwa na "kofia" mbili?

Kuuliza si ujinga!!
Ccm haijawahi kuwa na uchaguzi wa mwenyekiti ngazi ya taifa zaidi ya kumuidhinisha tu aliechaguliwa kuwa rais kama mwenyekiti wao mpya. Kwa lugha nyingine,ccm haijawahi kuwa na demokrasia ndani yake
 
Kwa kuwa katiba za vyama hubadilika mara kwa mara, nataka kujua ni kanuni ipi hutumika kumchagua Mwenyekiti wa CCM taifa. Jee kuna fomu huwa wana CCM wanaotaka nafasi hiyo hujaza ama inakuwaje?

Halafu ni kwa nini mara nyingi anayekuwa Rais wa nchi ndiye anayekuwa Mwenyekiti wa CCM, ina maana bila ya kuwa Rais wa Tanzania huwezi kuwa na uwezo wa kuwa Mwenyekiti wa chama hicho. Na siku CCM ikitoka madarakani haitakuwa na Mwenyekiti wa Taifa?

Kwenye uchaguzi wa Mwisho wa CCM niliouona wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho walipiga kura kimikoa. Jee upigaji kura huu ni wa kikanuni ama ni mbinu za kubanana ndani ya chama? Halafu Inakuwaje kwenye chama hicho mwenyekiti wa chama hicho taifa mara nyingi hupata kura zaidi ya asilimia tisini?

Kwa mfano Kikwete aliwahi kupata kura asilimia 99.92 na kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM taifa. Ina maana wana CCM wanafanana kiakili na kimtazamo kwa asilimia mia moja linapokuja suala la kumchagua Mwenyekiti wa Taifa wa chama chao?

Jee Mwenyekiti wa CCM taifa naye atatakiwa kutokuwa na "kofia" mbili?

Kuuliza si ujinga!!
Wakati mwingine kuuliza ni ujinga............Hapa ndipo umeonyesha ''Rangi'' yako halisi........Tafuta KATIBA, KANUNI na ILANI za Uchaguzi ya CCM uisome..............!!!!
 
Back
Top Bottom