CCM inapitia kipindi kigumu, makada wamechanganyikiwa wanapoteana vibaya mno

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,796
Ni kama boma lililoshambuliwa kila upande, waliomo ndani yake hawajui wajibu vipi mapigo ..basi wanajikuta wanapoteana na kuchanganyikiwa kabisa...Ni kama chizi ambaye dishi limeyumba kidogo.

Hii counter attack ya mapigo matatu ndani ya muda mfupi imewafanya makada wapoteane kwakuwa kila pigo halikutegemewa na limepiga penyewe.

Pigo la kwanza lilikuwa shambulizi la watu waitwao wajumbe..kwenye uchaguzi wa watia nia waliokuwa wanaomba ridhaa ya kuchaguliwa kupeperusha bendera ya chama kwenye uchaguzi mkuu ujao ngazi ya ubunge na udiwani...ukiacha matumizi makubwa na ya wazi kwenye rushwa, wajumbe walitoa kipigo cha mbwamwizi kwa watu walichukuliwa kuwa na nguvu kubwa na ushawishi ndani ya chama.

Pigo la pili ni kifo cha ghafla cha rais mstaafu mzee Benjamin William Mkapa..huyu ndio pekee alikuwa anachukuliwa kama muokoa jahazi na nguzo imara pekee iliyokuwa imebaki CCM.

Taharuki imekuwa kubwa mpaka taratibu kadha za kuujulisha umma zikakiukwa huku makada wakifikia hatua za kutoaminiana na kuhoji mambo kadhaa kwenye kifo cha mzee Mkapa.

Pigo la tatu ni ujio wa Lissu..hili limepiga penyewe haswa..ukisoma post za makada kabla na baada ya jana unaishia kucheka tu...kwa hakika hawakutegea kabisa kama Lissu atarudi na kama akirudi walidhani atapokewa airport na bangili huku walioenda kumlaki wakiishia virungu na vipigo na kukamatwa...hakuna lililotokea hata moja kati ya hayo.

Muda huu wako busy kuandika mada za kulialia na kuhoji hili na lile..bado hawaamini kabisa kile kilichotokea jana.

Makada wana kihoro kikubwa..kuna kila dalili kuwa kuna mapigo mengine mane yanakuja ili yatimie mapigo saba...SEMA MAPIGO SABA...!!!

Makada je mnajua tofauti ya shimo na tundu? Naamini kwasasa hamuwezi kujibu ila nitawasaidia

Shimo lina kina...tundu halina kina...shimo la tewa ..tundu la sindano...je ccm imegeuka kuwa shimo!? Kumbuka hata kaburi ni shimo...lakini la wafu...Poleni sana makada.!!
IMG-20200727-WA0073.jpg


Jr
 
I wish ningekuwa kwenye ubongo wa jamaa flani nijue sasa hivi anawaza nini!

Anyway, waiting to see him kwenye kuaga mwili wa Mh. Mkapa, halafu karibu yake akatize Tundu Lissu....

Taarifa zilizonifikia zinasema jamaa ameogopa kumuona Tundu Lissu, wameamua kumzuia getini asiingie ndani.
 
I wish ningekuwa kwenye ubongo wa jamaa flani nijue sasa hivi anawaza ni nini!

Anyway, waiting to see him kwenye kuaga mwili wa Mh. Mkapa, halafu karibu yake akatize Tundu Lissu....
Yuko shimoni..shimo la tewa

Jr
 
uchambuzi uchwara
Ni kama boma lililoshambuliwa kila upande, waliomo ndani yake hawajui wajibu vipi mapigo ..basi wanajikuta wanapoteana na kuchanganyikiwa kabisa...Ni kama chizi ambaye dishi limeyumba kidogo
Hii counter attack ya mapigo matatu ndani ya muda mfupi imewafanya makada wapoteane kwakuwa kila pigo halikutegemewa na limepiga penyewe

Pigo la kwanza lilikuwa shambulizi la watu waitwao wajumbe..kwenye uchaguzi wa watia nia waliokuwa wanaomba ridhaa ya kuchaguliwa kupeperusha bendera ya chama kwenye uchaguzi mkuu ujao ngazi ya ubunge na udiwani...ukiacha matumizi makubwa na ya wazi kwenye rushwa, wajumbe walitoa kipigo cha mbwamwizi kwa watu walichukuliwa kuwa na nguvu kubwa na ushawishi ndani ya chama

Pigo la pili ni kifo cha ghafla cha rais mstaafu mzee Benjamin William Mkapa..huyu ndio pekee alikuwa anachukuliwa kama muokoa jahazi na nguzo imara pekee iliyokuwa imebaki CCM..
Taharuki imekuwa kubwa mpaka taratibu kadha za kuujulisha umma zikakiukwa huku makada wakifikia hatua za kutoaminiana na kuhoji mambo kadhaa kwenye kifo cha mzee Mkapa

Pigo la tatu ni ujio wa Lissu..hili limepiga penyewe haswa..ukisoma post za makada kabla na baada ya jana unaishia kucheka tu...kwa hakika hawakutegea kabisa kama Lissu atarudi na kama akirudi walidhani atapokewa airport na bangili huku walioenda kumlaki wakiishia virungu na vipigo na kukamatwa...hakuna lililotokea hata moja kati ya hayo
Muda huu wako busy kuandika mada za kulialia na kuhoji hili na lile..bado hawaamini kabisa kile kilichotokea jana..

Makada wana kihoro kikubwa..kuna kila dalili kuwa kuna mapigo mengine mane yanakuja ili yatimie mapigo saba...SEMA MAPIGO SABA...!!!
Makada je mnajua tofauti ya shimo na tundu? Naamini kwasasa hamuwezi kujibu ila nitawasaidia
Shimo lina kina...tundu halina kina...shimo la tewa ..tundu la sindano...je ccm imegeuka kuwa shimo!? Kumbuka hata kaburi ni shimo...lakini la wafu...Poleni sana makada...!!!!View attachment 1519309

Jr
 
Tatizo linakuja pale kwenye upigaji kura, huu upande wa pili wapiga kura ni wachache sana ila kuna wapiga kelele wengi sana.
Mwaka huu Kuna kura za sympathy,tambua hilo Lissu akisema ahutubie taifa na akapewa airtime(live coverage) ndo utaelewa Nina mainisha nini. Na hili linaenda kutokea mda sio mrefu
 
Jamaa kaona picha hata Ile hamu ya kuongeza mda imekufa.
1.Mwanae kipenzi kachezea,
2.Aliowanunua upinzani wamekula spana.
3.Asiowapenda kina Nape, Makamba, Ndungulile wamepata kura za kishindo kuliko wote.
4.Kutwaliwa kwa Mshauri wake
5 Aongezewe mda kina Nkamia,Kessy wajumbe wamefanya kazi nzuri Sana.

Nakubaliana nawe zindiko limekiukwa sababu ya corona chochote chaweza tokea.
Uchaguzi ni mgumu sio rahisi Kama mnavofikiria.
Ogopa Sana wakuambiao tupo nyuma yako.
 
Back
Top Bottom