Mimi na Watanzania wengine tunajua wazi sasa CCM inapigania kitu kimoja tu maslahi ya watu na biashara za watu wanao wapa pesa kwa maslahi binafsi na si kwa Tanzania.

Viongozi wote wa juu wanajihusisha na rushwa kwa namna moja au nyingine. Hata kama ukiomba pesa huku nje ya kusaidia miradi ya maendeleo vijijini ukifika Tanzania cha kwanza ni watu wa wizarani kukuomba rushwa hata kama pesa imetoka nje na ni ya kusaidia masikini wa Tanzania.

Kuna watu wengi wamesimamaisha misaada ya maendeleo kwasababu ya kuomba rushwa ambazo hazikuwa kwenye budget ya miradi.

Tanzania tusipokuwa wazalendo nchi yetu, kizazi kijacho kitakuwa na matabaka makubwa sana

Wewe muongo sana kama una chuki binafsi na CCM si useme tu
wewe ni mmoja wao ndo maana unatetea huo upuuzi wenu....ccm haika kwa ajili ya umma wa watanzania bali kwa manufaa ya wachache ambao ni viongozi na wafanya biashara wakubwa...,Wewe muongo sana kama una chuki binafsi na CCM si useme tu
Wewe muongo sana kama una chuki binafsi na CCM si useme tu

Hebu tueleze uongo wake ni upi???!!! Vinginevyo Shut the hell up!!!
tutakulima ban sasa hivi, we endelea tu na ujinga wako!Wewe muongo sana kama una chuki binafsi na CCM si useme tu