CCM inapigania maslahi ya nani katika Tanzania?

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,542
8,630
Mimi na Watanzania wengine tunajua wazi sasa CCM inapigania kitu kimoja tu maslahi ya watu na biashara za watu wanao wapa pesa kwa maslahi binafsi na si kwa Tanzania.

Viongozi wote wa juu wanajihusisha na rushwa kwa namna moja au nyingine. Hata kama ukiomba pesa huku nje ya kusaidia miradi ya maendeleo vijijini ukifika Tanzania cha kwanza ni watu wa wizarani kukuomba rushwa hata kama pesa imetoka nje na ni ya kusaidia masikini wa Tanzania.

Kuna watu wengi wamesimamaisha misaada ya maendeleo kwasababu ya kuomba rushwa ambazo hazikuwa kwenye budget ya miradi.

Tanzania tusipokuwa wazalendo nchi yetu, kizazi kijacho kitakuwa na matabaka makubwa sana

Nduguyangu unayoyasema ni ukwell mtupu, na waziri Sita kasema nchi imebaki mifupa mitupu

Mimi na Watanzania wengine tunajua wazi sasa CCM inapigania kitu kimoja tu maslahi ya watu na biashara za watu wanao wapa pesa kwa maslahi binafsi na si kwa Tanzania.

Viongozi wote wa juu wanajihusisha na rushwa kwa namna moja au nyingine. Hata kama ukiomba pesa huku nje ya kusaidia miradi ya maendeleo vijijini ukifika Tanzania cha kwanza ni watu wa wizarani kukuomba rushwa hata kama pesa imetoka nje na ni ya kusaidia masikini wa Tanzania.

Kuna watu wengi wamesimamaisha misaada ya maendeleo kwasababu ya kuomba rushwa ambazo hazikuwa kwenye budget ya miradi.

Tanzania tusipokuwa wazalendo nchi yetu, kizazi kijacho kitakuwa na matabaka makubwa sana

Wewe muongo sana kama una chuki binafsi na CCM si useme tu
wewe ni mmoja wao ndo maana unatetea huo upuuzi wenu....ccm haika kwa ajili ya umma wa watanzania bali kwa manufaa ya wachache ambao ni viongozi na wafanya biashara wakubwa...,

Ccm chama cha wenyenazo na kama zipo kidogo uongezee na kapa maskini unyang'anywe masalia yako..Miaka 50 sasa Nchi inaburuzwa mkiani kwa umaskini......

Hebu tueleze uongo wake ni upi???!!! Vinginevyo Shut the hell up!!!

Alisikika rais wako aliyejichokea akisema Tanzania uchumi umepanda kwa sababu magari ni mengi Dar, aliongopa kwa kuwa wingi wa magari ni udhaifu wa miundombinu, na pia magari hayo mengi ni sekandi hendi na ni ya mikopo kama lilivyo lako! Lakini pia wewe na chama chako ni wezi, wazandiki, na msio na huruma, wenzenu wanaposhindia mlo mmoja dhaifu, nyie mnaishia kugawa rushwa mrudishe igunga, na mnazidi kuiba mali za watanzania maskini kwa manufaa yenu na familia zenu, ndio maana mnaishiwa kuletewa songombingo kwenye vilabu vya pombe kwa kuwa hamju hata mnachotakiwa kufanya. Lione lilivyo...

usimlime ban mkuu.yeye uwezo wake wa kupembua mambo anaona kwamba ccm inapigania maslahi ya umma as it was in the beginning wakati wa Mwl. infact hata mm kwa hali ya sasa naona dhahiri shahiri ccm imebaki kulinda kundi la wachache c umma tena

Wewe muongo sana kama una chuki binafsi na CCM si useme tu

Hujapata nafasi ya kulishuhudia hili, lakini hii ni kweli kabisa... Acha wizarani, hata utapofika katika jamii masikini kabisa na kutaka kusaidia viongozi wa kijiji watakuuliza sisi tutanufaika vipi? Watanzania tuna safari ndefu kufikia maendeleo kwa sababu tumejaa ubinafsi na tamaa na ndani ya CCM ndiko shina.

zamani
nyundo;wafanyakazi
jembe; wakulima

saa
nyundo;inaua watu
jembe; linawafukia

huh..............haponi mtu

Hili si swali la kuuliza.
CCM inapigania matumbo ya viongozi wake (note si wanachama wake kwani nao wamechoka tu huku mitaani na kandambili za kushoto zote halafu za rangi tofauti) na watoto wao. Hakika hawa CCM wanastahiki laana kwa kulifanya taifa hili kuwa masikini kwa miaka 50 ya uhuru wa bendera. Yaani hawa ni bora ya wakoloni mara 1000.
Natamani hata leo tungeingia mitaani.

Wewe muongo sana kama una chuki binafsi na CCM si useme tu

Ila ujue bwana mwita mambo mengine yako wazi kabisa. au ww unaishi tz ya ulaya? leo sukari 3000 ni halali kweli au nayo inaongozwa na soko la dunia? wakati kilombero, mtibwa, tpc moshi, kagera inazalishwa?

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom