Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 19,410
- 25,936
Kitakachotokea baada ya Katiba kuweka fair ground, baadae Chadema wakiweza kushika dola , wataichakachua tena Katiba kama walivyochakachua katiba ya Chama chao ili rais atakayetawala kwa wakati hasiwe na kikomo kama ilivyo uenyekiti wa Mbowe.Katiba inaipaje madaraka CHADEMA, kwani itakuwa na kifungu cha kuwa CHADEMA lazima itawale au unahisi itaweka fair ground kwa vyama vyote na kusababisha CHADEMA kushinda.