CCM inajivunia nini inaposherehekea kuzaliwa kwake?

Kingcobra

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,000
309
Wandugu,
Chama Cha 'Mapinduzi' kinajivunia nini cha maana kinaposherehekea kuzaliwa kwake??
 
Toa Marks
Ujamaa na kujitegemea
Ruswa ni adui wa haki
Sitatoa wala kupokea rushwa
Nitasema kweli daima
Fitina kwangu mwiko
Watu, haki, siasa safi na uongozi bora = Maendeleo
Binadamu wote ni sawa, yaani wote ni waheshimiwa.

Katika kuvihukumu vitendo vyetu kama ni vizuri, au ni vibaya, hatuna budi tujiulize: Je vinasaidia au vinapinga kutimiza shabaha za Chama chetu. Kama vinapinga, basi hatufai hata kidogo, ndio!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom