CCM inaigopa CHADEMA

CCM inaigopa CHADEMA

Utashika vipi dola unasusia uchaguzi?
CHADEMA kutokushika dola si ndiyo furaha kwenu? Nyie shikeni dola waacheni CHADEMA wafanye siasa bila ya kushika dola.

Dola mnayo lakini mkisikia CHADEMA inatajwa mnapata kiwewe!!
 
CHADEMA kutokushika dola si ndiyo furaha kwenu? Nyie shikeni dola waacheni CHADEMA wafanye siasa bila ya kushika dola.

Dola mnayo lakini mkisikia CHADEMA inatajwa mnapata kiwewe!!
In politics there is no shortcut way .

If you want shit to get better in your neighborhood, you have to be the one who puts the guy in office. If you vote for him, he or she owes you. That’s the game—it’s a hustle. But even aside from all that, I told people, this election is bigger than politics
 
Mtu anakutawala akiamu anakusweka ndani , unaleta porojo za kishamba😂😂..Kijana tafuta kazi ya kufanya.
 
CCM wanajua kabisa chadema ipo katika mioyo ya watanzania wengi ndomana wanaiogopa. Wakiingia katika uchaguzi huru na wahaki ccm wanapigwa mapema asubuhi.

CCM wamebakiza kutumia vyombo vya Dola ili kubakia madarakani kwa hila baaasi
 
Wewe endelea kuangalia kwa umakini ila ujue tu kuwa
CCM ni chama pekee chenye watu wengi nchini ndo ujue kuwa CCM ndo Tanzania yenyewe hata wew ni CCM sema njaa tu upo unatapatapa na Hela za donation ya chadema.
Chadema ni tawi la bunge la ulaya
Chadema ni vibaraka wa mabeberu
Chadema ni chama cha vurugu
Chadema ni chama cha panyaroad
 
Ukiangalia na kuchunguza Kwa makini hali ya mvurugiko wa kisiasa nchini kwetu, utagundua ilianza mara baada tu ya CHADEMA kumchagua Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti wao Taifa.

Mpaka leo ingawa CHADEMA imezuiliwa kufanya siasa na kuendelea kushambuliwa kila Kona, lakini unaona kabisa kuwa CCM bado hawajiamini kama wapo salama CHADEMA ikiendelea kuwepo.

Kuna watu wanayapenda Maigizo ya wana CCM hata kama wanajua ni UONGO.

Hebu fikiria zama zile za mazingaombwe, mfanya mazingaombwe ambao mara nyingi walikuwa wanajiita "Profesa" au "Dokta" anaweka kiingilio ili kuingia kwenye hayo mazingaombwe.

Lakini anapofanya michezo yake huonyesha jinsi anavyoweza kugeuza karatasi liwe pesa.

Sasa kama ana uwezo wa kugeuza karatasi kuwa pesa kwa nini mlangoni aliweka kiingilio?

CCM Kila siku inajionesha kuwa ina uwezo wa kufanya kila kitu na kujisifu chama Chao ni kikubwa na imara Afrika nzima.

Kama hizo sifa wanazosema CCM kweli wanazo, inakuwaje wanaigopa CHADEMA chama kisicho na dola?

CCM inayojisifu kwa uimara wake inaweweseshwaje na CHADEMA isiyo na Wenyeviti wa vitongoji, vijiji na mitaa wengi kuliko wao?

CCM inayojinasibu kwa mbwembwe kuwa wenyewe ni chama cha kihistoria kinakuwaje kinatumia dola kupambana na chama kilichoanzishwa mwaka 1993?
Kawaida shetani anaiogopa nuru,yeye ni giza na giza ni yeye.
 
CCM NI TROPHY CHASER NA SIO PROPAGANDA DOMINATOR.

MUDA HUU UPO UNA PLAY HER TUNES

MSIPOELEWA HILI SWALA MJIANDAE KUWA WASINDIKIZAJI KILA UCHAGUZI UKIFIKA.
Kwanza hiyo formula ya kupanga matokeo mwisho umefikia mo29, kwa sasa itabidi mshindane kihalali vinginevyo dunia itashuhudia updated version ya mo29. Na hii miaka mitano itabidi mteke watu sana, ila mwisho wenu umefika.
 
No soft game after MO29 don't expect another red pen
 
No longer at easy.
IS NOT A CHOICE BUT A RESPONSIBILITY FOR THE ADULT MINDS OF TODAY TO IMPART WISDOM AND KNOWLEGE TO THE YOUNG MINDS THAT WILL CONTROL TOMORROW TO IGNORE THIS RESPONSIBILITY IS TO THROW AWAY ANY OF DECENT FUTURE FOR ANY OF US
 
Who cares?
 
Back
Top Bottom