Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
Hakuna shaka CCM inaharakishwa kujimaliza kwani chama hicho sasa hivi kiko katika kupigana a 2-front war – yaani vita ya kutoka pande mbili – ya kutoka ndani mwake (kupambana na makundi yake) na kutoka nje, yaani kupambana na Chadema chama ambacho kila kukicha kinakitesa chama hicho tawala kwa kufichua uozo ndani yake.
Kwa mwenendo huu nadhani chama hicho hakitafika 2015 kwani hakuna kabisa dalili ya kujirekebisha – mkuu wao JK hana uwezo wa kukisimamia. Hawezi kuwakemea mafisadi kwani yeye mwenyewe ndiyo fisadi namba moja.