sk2000 JF-Expert Member Joined May 19, 2012 Posts 754 Reaction score 436 May 4, 2013 #61 Mali zao zote zitaifishwe. Kwani wanazimiliki kifisadi.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,748 Reaction score 290,600 May 4, 2013 #62 Ha! Ha! Ha! Ha! Asante kwa taarifa mkuu , ila nina Swali dogo la kizushi , Je Lowasa na Kinana nao watabadilishwa Majina ?
Ha! Ha! Ha! Ha! Asante kwa taarifa mkuu , ila nina Swali dogo la kizushi , Je Lowasa na Kinana nao watabadilishwa Majina ?