CCM inadilishe jina la chama?

Mnatuaharibia Jukwaa letu la siasa kwa kuleta upuuzi wenu wa Facebook huko na Tanuru la Mavi.

JF lipo jukwaa la jokes muwe mnapeleka huko post zenu za kijingajinga.
 
si walisema watapeleka mswada wa vyama kuungana bungeni?
labda watafunga ndoa kamili na CUF wajiite Muungano wa CCM na CUF (green)
lakini watanzania hawadanganyiki tena kwa majina.
 
Chama cha Mapinduzi Maarufu kama CCM kipo mbioni kubadili jina ili kubadilisha taswira ya Chama hicho katika Jamii ya Watanzania. Watonyaji wanasema kwamba hii ndiyo karata ya Mwisho ambao chama hiki chenye umri mkubwa kuliko vyote hapa nchini kimeamua kuitumia baada ya mipango mikakati yote iliyotumika mpaka sasa kujihakikishia kuwa kinabaki madarakani 2015 kutozaa matunda kabisa.
Falsafa nyuma ya mpango huu ni kutumia jina jipya kukonga tena nyoyo za waTanzania ili 2015 waweze kushinda.
Licha ya kubadilisja jina Pia chama hiki kikongwe kitafanya mabadiliko machache ndani ya chama ili kurejesha imani kwa wa Tanzania
Mpango huu umekuja baada ya jitihada zote walizotumia kuua upinzani kutozaa matunda. Mtonyaji mmoja amesema kwa vyama kama NCCR, CUF waliishia ngazi za chini kabisa katika kuvimaliza kisiasa lakini kwa CHADEMA hali imekuwa tofauti. Hivyo baada ya external strategies kukwama wameamua watumie internal strategies kama kubadili jina. Hii ni pamoja na kujaribu kukinusuru chama na makundi hasimu yaliyopo ndani ya chama yanayotaka kuwania Urais mwaka 2015

Chanzo: Habari toka vyanzo vya kuaminika Dodoma White house na Lumumba Dar ambazo zimevuja na hazijathibitiswa na wasemaji maana ni toka vyanzo vya ndani sana.
Vya kubadili ni vingi japo sina uhakika kama huo mkakati utawazalia matunda.
 
Wamekudanganya:

...mkuu mbona jina limekwisha badirishwa siku nyingi na kuwa... Chama Cha Majangili .....ni herufi za kifupi cha maneno ndio zinazo fanana.....

...Kivuli hakipigwi rangi...jangili habadiriki...hata umpeleke baharini ...ataitwa Haramia jangili....
 
Mnatuaharibia Jukwaa letu la siasa kwa kuleta upuuzi wenu wa Facebook huko na Tanuru la Mavi.

JF lipo jukwaa la jokes muwe mnapeleka huko post zenu za kijingajinga.

Mkuu hizi ajira kwa vijana wetu wanaoitwa volunteers wa mitandaoni, wasipo fanya haya wanayo yafanya mkutano ujao wa halmashauri kuu kitengo kinafutwa.
 
Chama cha Mapinduzi Maarufu kama CCM kipo mbioni kubadili jina ili kubadilisha taswira ya Chama hicho katika Jamii ya Watanzania. Watonyaji wanasema kwamba hii ndiyo karata ya Mwisho ambao chama hiki chenye umri mkubwa kuliko vyote hapa nchini kimeamua kuitumia baada ya mipango mikakati yote iliyotumika mpaka sasa kujihakikishia kuwa kinabaki madarakani 2015 kutozaa matunda kabisa.
Falsafa nyuma ya mpango huu ni kutumia jina jipya kukonga tena nyoyo za waTanzania ili 2015 waweze kushinda.
Licha ya kubadilisja jina Pia chama hiki kikongwe kitafanya mabadiliko machache ndani ya chama ili kurejesha imani kwa wa Tanzania
Mpango huu umekuja baada ya jitihada zote walizotumia kuua upinzani kutozaa matunda. Mtonyaji mmoja amesema kwa vyama kama NCCR, CUF waliishia ngazi za chini kabisa katika kuvimaliza kisiasa lakini kwa CHADEMA hali imekuwa tofauti. Hivyo baada ya external strategies kukwama wameamua watumie internal strategies kama kubadili jina. Hii ni pamoja na kujaribu kukinusuru chama na makundi hasimu yaliyopo ndani ya chama yanayotaka kuwania Urais mwaka 2015

Chanzo: Habari toka vyanzo vya kuaminika Dodoma White house na Lumumba Dar ambazo zimevuja na hazijathibitiswa na wasemaji maana ni toka vyanzo vya ndani sana.

kubadili jina hakukuondolei kifo
 
Tatizo dio jina la chama,ila wao ndio tatizo. Mfano mzuri angalia spika na wasaidizi wake wanabyo buruza wapinzani kana hawana hoja, angalia vile mawaziri wanavyo jibu hoja za upinzani kama hawajui kuna siku hizo ofisi zitakaliwa na watu wengine, wanavyolindana kama familia wanavyo yumia byombo vya dolla kukandamiza haki, nk. Lala salama ccm hutakaa uamke milele.
 
Tatizo sio jina la chama,ila wao ndio tatizo. Mfano mzuri angalia spika na wasaidizi wake wanavyo buruza wapinzani kana hawana hoja, angalia vile mawaziri wanavyo jibu hoja za upinzani kama hawajui kuna siku hizo ofisi zitakaliwa na watu wengine, wanavyolindana kama familia wanavyo tumia vyombo vya dolla kukandamiza haki, nk. Lala salama ccm hutakaa uamke milele.
 
Si kila mtu anatumia kichwa kufikiri wengine hutumia kufugia nywele tu.
 
Wapinzani sasa watafikiria jina (nick name) la kuwaita ambalo halibadiliki hata wakibadilisha jina lao, ambalo watalitangaza sana kama matangazo ya biashara, ili liwaingie waTanzania, ambalo litakuwa linaelezea tabia yao na sifa yao, ambapo litakoma kuwa jina lao tuu pale watakapobadika tabia zao!
 
nashauri kiitwe chodema ili kuwachanganya wananchi,
kwa sbb hakuna namna ya kukiponyesha.:lol::eyebrows:

Mbona walishaanza. Umesahau kuna chama kinabendera yenye mfanano na ya cdm. By the way cdm mlishsshulikia ilo tatizo? be watchful na hawa magamba
 
Back
Top Bottom