Inaitwa The Iron Law of Inevitable oligarchy. Taasisi yoyote ya kidemokrasia mwisho wake ni kutekwa na elites wachache ambao lengo lao kuu huwa ni kubaki madarakani.
wanachofanya ni sawa kabisa !! kumuandalia mtoto mazingira ya baadae ni kitu chema !! mleta mada naamini unatamani mwanao awe bora zaidi yako huko ukubwani