Kama ukipata muda naomba unisaidie kujijibuKwani hapa alikuwa anajituma au alikuwa anatumwa na mfumo? Huo mfumo uliokuwa unamtuma unafikiri hakujipanga likitokea la kutokea. Kwani maoni yake kuhusu Mzee Kinana yamerushwa na umeya sikia mitandaoni? Unafikiri hawa wakina Happi na wa aina yake wako wamekaa tu kama maburoila?
Hasa HapiTumewaonya sana lakini hamkusikia, haya endelea kutikisa mattacle sasa kama wakati wa mwendakuzimu.
Kwa kauli hii wamekubali fika kwamba CCM ilikuwa inaongozwa kibabe.What a coming back![emoji23]View attachment 2171892
Hasa Hapi
Jiwe Akisema Wakirejea Machungani Wenzao Watajua Hawana MkiaWale ng'ombe wasio na mikia bado wapo?
Ccm ni ile ileee... Ohhh ni ile ileee
Kitengo ni kile kileeee ooh ni kilekileee
Fikra ni zi zilee zileee ooh ni zilee zileee
Chawa ni walee walee ooh ni walee walee
Fitina ni zilee zileee ooh ni zilee zileee
Majungu ni yalee yaeee ooh ni yalee yalee
Kubutua ni kulee kuleee ooh ni kulee kulee..
Sura ni zilee zilee ooh ni zilee zileee
Mbinu ni zilee zileee ooh ni zileezileee
Mapandikizi hayajastawi ukame umeyauwa
Wakuja wamefurushwa..hawana chao tena
Washamba wametawanywa hawasikiki tena
Wajuaji jua linawawakia wengine wamekuwa ndezi, wengine wako jehanum hata kabla ya kifo
Wakubebwa mbeleko imechanika
Wakulialia hamuna leso tena
Waunga juhudi wakakate tu pua waunge wajihi
Kumkoma nyani jiladi.. Kuna baadhi wanaogopa hata vivuli vyao[emoji1]... wahuni sio watu japo wana roho.. wanakuchinjia baharini huku wanakutupia boya la kujiokoa...!
Chama kimerudisha hatamu... ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKIGODA!
ITIKA! ZINGUMU....!!!!